Thursday , July 19 2018

Home / 2017 / October / 26

Daily Archives: October 26, 2017

RATIBA YA ROBO FAINALI YA CARABAO CUP YATOKA

45B490D100000578-5021097-image-m-26_1509033041636

Droo ya kupanga mecho za robo fainali, katika upangaji huo wa robo fainali inaonekana bado hatutashuhudia mechi baina ya vigogo wa ligi katika robo fainali kwani hakuna mchezo wanaokutana katika hatua hiyo. Chelsea watakutana na Bournamouth katika robo fainali huku  Arsenal watakabiliana na West Ham katika robo fainali. Leicester City …

Read More »

WAGOMBEA UDIWANI WA CCM WAREJESHA FOMU DAR, LEO

1. BN647757

 Wagombea Udiwani wa CCM katika Uchaguzi wa marudio katika Kata ya Saranga Wilayani Ubungo na Kata ya Kijichi wilayani Temeke leo wamerudisha fomu zao kwa wasimamizi wa uchaguzi katika kata hizo kwa kishondo huku wakisindikizwa na viongozi kadhaa ya wa CCM wakiongozwa ana Katibu wa CCM mkoa wa Dar es …

Read More »

TBL EXPERIENCES PHENOMENAL GROWTH

TPSF PHOTO 8

The TBL Managing Director who is also AB-inBev’s President of the East African Business Unit,Roberto Jarrin ,at the Second Ministerial Dialogue with the Private Sector whose theme was “ The Sate of Doing Business in Tanzania”. — We have experienced phenomenal growth from the second quarter of this year and …

Read More »

Tigo yazindua mbio za Kili Half Marathon 2018, kufanyika March 4.

3

  Kaimu mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo    akijitambulisha wakati wa kuzindua mbio za Kili Half Marathon kwa mwaka 2018, mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe.  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa uzinduzi wa …

Read More »

NMB yaahidi kuzingatia uwiano wa kijinsia kuchochea maendeleo

url

………………………………………………………………… BENKI ya NMB Tanzania imesema licha ya kutoa huduma bora kwa wateja wake itaendelea kuhakikisha inazingatia uwiano wa kijinsia kati ya wanawake na wanaume ili kuwapa nafasi wote kushiriki katika shughuli za maendeleo. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Idara ya Fedha za Kigeni katika Benki ya NMB, Gladness Deogratias …

Read More »

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WADAU WA BIMA AFRIKA

_MG_0077

Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii TANZANIA inataraji kuwa mwenyeji wa Semina ya siku tatu kwa Umoja wa Makampuni ya Bima Afrika kuhusu bima ya Maisha utakaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa AICC Arusha. akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mjumbe wa mkutano huo, Phaustine Oyuke amesema Tanzania …

Read More »

WANAUME WASEMA KUWA WANAWAKE NDIO WAENDELEE KUPOKEA FEDHA ZA TASAF KWA SABABU YA UAMINIFU WAO

images

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA WANAUME ambao ni walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) wamesema kuwa ni vema wakinamama wakaendelea kupokea fedha wanapatiwa ili kuzifanya ziwe zinatekeleza malengo yaliyokusudiwa. Wanaume hao wametoa kauli hiyo jana katika Kijiji cha Imalakaseko wilayani Uyui wakati mkutano …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

DSC_2856

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango   katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja Katibu Mkuu wa …

Read More »

ELIMU YATOLEWA KWA ABIRIA WA VIVUKO MAGOGONI KIGAMBONI

PIC2

Wanafunzi wa Chuo cha Bahari nchini (DMI) wakielea majini huku wameshikilia boya kubwa la kujiokolea lenye uwezo wa kushikwa na watu 12 wakati wa zoezi la kuwafundisha abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni jinsi ya kujiokoa pindi inapotokea dharura ya ajali. Zoezi hilo lililoandaliwa na Wakala wa Ufundi na Umeme …

Read More »

ANDAENI MWONGOZO WA UPIMAJI NA VIJIJI NA MITAA- LUKUVI

1-29

Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali imewataka wataalam wa mipangomiji kuandaa mwongozo wa upimaji wa mitaa na vijiji maeneo ya vijijini ili kuboresha makazi. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Wiliam Lukuvi wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Bodi ya …

Read More »

SWEDEN YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE MIRADI YA NISHATI

IMG_1479

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa nne kulia) na Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt (wa pili kulia) pamoja na Maafisa Waandamizi kutoka pande hizo mbili wakiwa katika mkutano ulioangazia ushirikiano wa maendeleo, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar …

Read More »