Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / October / 28

Daily Archives: October 28, 2017

TATHIMINI YA MCHEZO WA YANGA VS SIMBA ‘KARIAKOO DERBY’

IMG-20171028-WA0095

Na Samuel Samuel Mtanange wa watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC almaarufu kama Kariakoo derby umemaliza uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kwa timu zote kutoshana nguvu kwa sare ya 1-1. Alikuwa mnyama Simba SC aliyekuwa wa kwanza kuwanyanyua maelefu ya mashabiki wake vitini kupitia …

Read More »

VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU WAMPONGEZA MAVUNDE

ton (3)

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akishiriki Dua maalum iliyofanyika katika Madrasa ya Darul Mustafa-Chang’ombe Manispaa ya Dodoma. Washiriki wa Dua maalum katika Madrasa ya Darul Mustafa-Chang’ombe Manispaa ya Dodoma Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza katika Dua maalum iliyofanyika katika Madrasa ya Darul Mustafa-Chang’ombe …

Read More »

IGP Sirro Apongezwa Na Wazee Wa Kibiti Na Ikwiriri

2

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili  za Ikwiriri na Kibiti. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa …

Read More »

WAZIRI WA AFYA MHE.UMMY AAGIZA HOSPITAL NA VITUO VYA AFYA VYOTE VYA SERIKALI KUTOA HUDUMA YA UCHUNGUZI WA SARATANI WAKATI WA KLINIKI YA MAMA NA MTOTO

Pic 1

Meza kuu ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu watatu kutoka kushoto wakati alipofungua matembezi ya hisani ya kuhamasisha uchunguzi wa Saratani ya matiti, kulia kwa Mh. Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaiselage na kushoto  ni …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI WAZEE,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO

DSC_3531

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja, Maafisa katika Idara …

Read More »

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAUGUZI ZANZIBAR WAFANYIKA

01

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar Omar Abdallah Ali akitoa maelezo ya mkutano mkuu wa siku mbili wa uchaguzi wa Jumuiya hiyo  unaofanyika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi Mjini Zanzibar.  Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Wauguzi Zanzibar Valeria Rashid Haroub akieleza mafanikio yaliyofikiwa na Jumuiya hiyo tokea …

Read More »

KUMBUKUMBU YA BABA MZAZI OMUTWALE Paschal Rutaihwa Kakiziba

Baba pix 2016

IN MEMORIAM  OMUTWALE Paschal Rutaihwa Kakiziba 13TH JULY 1935 – 28TH OCTOBER 2004 DAD… ALWAYS IN OUR MINDS & FOREVER IN HEARTS! Our beloved father, it’s now 13 years since you departed to Our Heavenly Father. Your love, generosity and kind-heartedness still lingers in our hearts. Your wife, Mary-Hilda Kakiziba, …

Read More »

SIKO TAYARI KUMVUMILIA MTUMISHI YEYOTE: NAIBU WAZIRI NDITIYE

NA.1

Kaimu Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Anjelina Madete akimkabidhi Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara hiyo Mhandisi Atashasta Nditiye nyaraka mbalimbali zinazosimamia uendeshaji wa Sekta hiyo wakati wa kikao na Menejimenti ya Sekta hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa …

Read More »

KAMISHNA WA UHAMIAJI PASIPOTI NA URAIA, GERALD KIHINGA ATOA MSAADA NA KUSHIRIKI ZOEZI LA USAFI HOSPITALI YA TEMEKE

KAMISHNA WA UHAMIAJI PASIPOTI NA URAIA, GERALD KIHINGA AKITOA ZAWADI NA KUMFARIJI MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE

KAMISHNA WA UHAMIAJI PASIPOTI NA URAIA, GERALD KIHINGA AKITOA ZAWADI NA KUMFARIJI MGONJWA KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE. ……………………………………………………………… Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala aliongoza watumishi wa idara hiyo kwenye zoezi la usafi na kuwafariji wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke. Zoezi hilo lililofanyika leo …

Read More »

POLISI WAUNGA MKONO BODA BODA KUJISAJILI “KIDIJITALI”

JC9A7766

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo akiongea na waendesha bodabdoa wapatao 220 wakati wa kikao cha mkakati wa uhalifu kilichofanyika jana mchana katika ukumbi wa bwalo la Polisi uliopo jijini Arusha. Mwenyekiti wa UBOJA wilaya ya Arusha Bw. Maulid Makongoro akielezea faida ya kusajili wanachama …

Read More »

DC MTATURU AZINDUA MSIMU WA KILIMO 2017/2018

IMG-20171027-WA0513

Na Mathias Canal, Singida Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu amezindua msimu wa kilimo 2017/18 ikiwa ni Sehemu ya kuwasihi wananchi kuanza kujiandaa kwani tayari wakati wa kuanza kilimo umekaribia. Katika uzinduzi huo uliofanyika katika kijiji na kata ya Ihanja wilayani Ikungi Mhe Mtaturu pamoja …

Read More »

WAZIRI MPINA ACHOMA NYAVU KUKOMESHA UVUVI HARAMU

DSC_0007

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akimimina mafuta ya taa kabla ya zoezi la kuteketeza nyavu zinazotumika katika uvuvi haramu mjini Kigoma leo. Nyuma yake ni baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma watumishi wa umma na wanahabari wakishuhudia tukio hilo. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akiwasha …

Read More »

Wanaodai fidia mgodi wa Buckreef kuhakikiwa

PICHA NA 1

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buckreef, Peter Zizhou (kulia) akielezea teknolojia ya zamani ya  uchenjuaji wa dhahabu kwa  Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) mara alipofanya ziara kwenye mgodi huo uliopo mkoani Geita kwa ajili ya kujionea maendeleo ya shughuli zake tarehe 27 Oktoba, 2017. Kushoto ni Naibu …

Read More »