Friday , October 19 2018

Home / 2017 / October / 29

Daily Archives: October 29, 2017

RAIS MAGUFULI KUFANYA ZIARA MWANZA SIKU MBILI

Magu+Picha

Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili ya kikazi mkoani Mwanza na kufungua miradi minne inayolenga kuboresha uchumi wa nchi. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella alisema rais ambaye atafanya ziara kesho na kesho kutwa, ataongozana na viongozi wengine hadi katika Daraja la Furahisha na kulizindua. …

Read More »

JAFO ATEMBELEA KUONA ATHARI KATIKA MIUNDOMBINU MWENDOKASI.

IMG-20171029-WA0058

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akishuka katika basi la mwendokasi kituo cha kivukoni alipokuwa akikagua miundombinu. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akiwa ndani ya basi la mwendokasi. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo akiwa na maafisa mbalimbali wakikagua miundombinu ya mabasi ya mwendokasi. Waziri wa …

Read More »

SERIKALI YADHAMIRIA KUFUNGUA UTALII WA KANDA YA KUSINI, YAPO MAPOROMOKO YA PILI KWA KUWA NA KINA KIREFU ZAIDI BARANI AFRIKA

3

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Greens Construction Limited, Hamimu Bakari wakati akishuka kwenye ngazi maalum zinazojengwa na mkandarasi huyo kwa ajili ya kuwawezesha watalii kushuka hadi kwenye kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo wakati wa ziara yake mkoani …

Read More »

Lilian ndiye Miss Universe Tanzania 2017

1

 Miss Universe Tanzania 2016, Jihan Dimachk (kulia) akimvisha taji mshindi mpya wa shindano hilo mwaka huu  Lilian Erica Maraure mara baada ya kutwaa taji hilo jana kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo Posta jijini. Miss Universe Tanzania 2017, Lilian Erica Maraure akiwa katika pozi  pozi mara baada ya  kutwaa …

Read More »

TANZANIA BARA YATIA FORA MBIO ZA KMKM 10 KM RACE MWAKA 2017

02

Naibu Mkuu wa KMKM Capteni Khamis Simba Khamis akianzisha mbio  za Kilomita 10  (KMKM 10 Km Race) zilizoanzia Makao Makuu ya Kikosi hicho Kibweni na kumalizia viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar. Washiriki wa mbio  za kilomita 10 zinazoandaliwa na KMKM wakianza kukimbiza kupitia mitaa mbali mbali ya Zanzibar baada ya …

Read More »

Makamu wa Rais awasili mkoani Dodoma

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana  na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo kesho Makamu wa Rais atazindua Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017 pamoja na Mkakati wa …

Read More »

Wachimbaji madini Maswa, waomba maeneo yao kufanyiwa utafiti

Picha Na 1

Naibu  Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, akijibu kero mbalimbali za wakazi wa kitongoji cha Mwanguhi kilichopo wilayani Maswa mkoani Simiyu (hawapo pichani) katika mkutano wa hadhara. Mmoja wa wakazi wa kitongoji cha Mwanguhi kilichopo wilayani Maswa mkoani Simiyu akiwasilisha kero yake mbele ya Naibu  Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo (hayupo …

Read More »

WASANIFU MIRADI YA UJENZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias Kwandikwa, akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Eng. Jackson Masaka pamoja na viongozi wengine wa wilaya hiyo, wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Singida. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias …

Read More »

Wafanyakazi TAA kupatiwa mafunzo

dg mwanza1

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw.Richard Mayongela (wa tatu kulia), jana akiandika mambo mbalimbali katika mkutano na wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Mwanza. Wa pili kushoto ni Meneja wa kiwanja hicho Bi. Esther Madale na wa kwanza kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto …

Read More »

NAIBU WAZIRI NYONGO AFANYA ZIARA MASWA – SIMIYU

Picha Na 8

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo leo  tarehe 29 Oktoba, 2017 amefanya ziara ya  kikazi katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu lengo likiwa ni kukutana na  wananchi na kukusanya kero mbalimbali hususan katika masuala ya madini. Katika ziara hiyo  aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Seif Shekalaghe pamoja na …

Read More »

Tigo yachangia katika ukuaji wa teknolojia na huduma za kifedha kwa njia ya mtandao nchini

IMG_1158

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii  jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali. washiriki wa  mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini wakifurahia jambo , ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii  jijini Dar es Salaam.   Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, …

Read More »