Monday , October 22 2018

Home / 2017 / October / 30

Daily Archives: October 30, 2017

MAVUNDE AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BOMBA LA MAFUTA KUPITIA MPANGO WA URASIMISHAJI UJUZI

IMG-20171030-WA0081

washiriki wa uzinduzi wa programu ya Urasimishaji Ujuzi. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh. Anthony Mavunde akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh. Anthony Mavunde akizungumza katika uzinduzi wa programu ya Urasimishaji Ujuzi. Mbunge wa …

Read More »

UHURU KENYATTA ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS NCHINI KENYA

uhuru-kenyatta-6

  Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (IEBC) imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais baada ya kujikingia kura 7,483, 895 sawa na asilimia 98 katika uchaguzi wa marudio uliosusiwa na mpinzani wake mkuu, Raila Odinga. Kwa matokeo hayo, Rais Kenyatta na makamu wake William Ruto walikabidhiwa vyeti …

Read More »

JESHI LA AZAM FC LAANZA KUIWINDA RUVU SHOOTING

271A4769

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeanza rasmi mazoezi leo asubuhi tayari kabisa kuiwinda Ruvu Shooting. Azam FC  itakipiga na maafande hao katika mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku. …

Read More »

KISHINDO CHA MSIMU WA TIGO FIESTA CHAACHA GUMZO MOSHI

Banarba na uzinduzi wa Tumekusoma

Wasanii Banarba na Gnako wakishiriki uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo ya TUMEKUSOMA ambayo ni namba maalum (code number) itakayowawezesha wateja wa Tigo kuingia kwenye menyu na kupata huduma mbalimbali. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Majengo Manispaa ya Moshi usiku wa kuamkia jumatatu.   …

Read More »

Serikali Yamshukia Zitto kwa Upotoshaji.

Pix 02

Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Daniel Masolwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo ichani) wakati akikanusha taarifa za upotoshaji kuhusu takwimu za pato la taifa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Tafiti toka …

Read More »

UTAALAMU WA KUPANDIKIZA FIGO UPEWE KIPAUMBELE NCHINI

IMG_5180

Mashine za kusafisha figo(Dialysis Machine) ambazo zimefungwa kwenye hospitali nchini.Serikali imefunga mashine katika hospitali nchini ikiwemo UDOM (10),Hospitali ya Muhimbili (42), Hospitali ya Rufaa Mbeya(5), Hospitali ya Rufaa Bugando (10), KCMC(10),Hospitali ya Misheni Serian(10),Hospitali ya NSK Arusha(5),TMK(10),Regency(15),Hurbert Kairuki(5), Aga Khan(10) na Access(10).Mashine hizo  zina uwezo wa kuhudumia wagonjwa 783 kupitia …

Read More »

RAIS WA TFF-SOKA LINAHITAJI WATAALAMU WA KUTOSHA NCHINI

Pix 2

Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo   RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ,amesema ili soka la Tanzania iweze kusonga mbele lazima kuwe na wataalamu watakaoweza kutafsiri sheria mbalimbali za mchezo huo unaopendwa na wengi nchini.   Aidha ameupongeza mkoa wa Pwani kwa kuandaa mafunzo mengi ya waamuzi na …

Read More »

Benki Ya Kilimo Kusaidia Mageuzi Ya Kilimo Njombe

DSC_0070

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) walipomtembelea Ofisini kwake Mkoani Njombe. Ugeni uliongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rehema Twalib (wanne kushoto waliokaa). Kiongozi wa Msafara wa Ukaguzi wa Miradi ya …

Read More »

WIZARA YA AFYA YATOA TAHADHARI YA UGONJWA WA MARBURG

images

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), mnamo tarehe 19 Oktoba 2017 kuhusu ugonjwa wa Marburg ambao umejitokeza katika nchi jirani ya Uganda tangu tarehe 17 Octoba, 2017. Maeneo yaliyoathirika  na ugonjwa huo ni Wilaya ya Kween, Kanda ya …

Read More »

DKT.FAUSTINE NDUGULILE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA CHAMA CHA WATAALAMU WA MAGONJWA YA FIGO MJINI DODOMA

IMG_5120

Naibu Waziri wa Afya,maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto dkt.Faustine Ndugulile akiongea kwenye mkutano huo wa wataalamu wa magonjwa ya figo nchini.Mkutano huo wa siku mbili unafanyika kwenye Hotel ya Morena Mjini Dodoma na kuhudhuriwa na wataalamu mbalimbali kutoka Hospitali nchini,Wadau wa Maendeleo pamoja na wataalamu wengine kutoka nchi za Kenya,Sudan,India …

Read More »

NYALANDU ajiuzulu uwanachama wake ndani ya CCM na nyadhifa zote

index

“NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017”.  HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo NYALANDU amemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yake ya UBUNGE wa Jimbo …

Read More »

RC NDIKILO-PWANI BADO INAPAMBANA NA VIASHIRIA VYA KIUHALIFU

SAM_3307

MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo,akizungumza na viongozi wa kamati za ulinzi na usalama mkoa wa Lindi,Mtwara na Ruvuma huku mkoa wa Pwani ukiwa mkoa mwenyeji huko Bagamoyo (hawapo pichani),wakati walipokutana kujadiliana na kubadilishana uzoefu katika masuala ya ulinzi na usalama. Picha na Mwamvua Mwinyi …………… …

Read More »

DESTINATION TANZANIA EXCITES AMERICAN INFLUENCERS

Ifluencer 2

Ms Stephenie Buelna and Carly Brooke enjoying the scenery at Serengeti National Park recently during their visit organized by Tanzania Tourist Board. By:  Geofrey Tengeneza MsStephenieBuelna and Carly Brooke the two famous American influencers have successfully concluded their visit in Tanzania following an invitation extended to them by Tanzania Tourist …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, JAPHET HASUNGA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KALAMBO AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU BARANI AFRIKA

K

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Greens Construction Limited, Hamimu Bakari wakati akishuka kwenye ngazi maalum zinazojengwa na mkandarasi huyo kwa ajili ya kuwawezesha watalii kushuka hadi kwenye kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo wakati wa ziara yake mkoani …

Read More »