Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / October / 31

Daily Archives: October 31, 2017

MWAMUZI ALITUNYIMA PENATI MBILI DHIDI YA YANGA- MANARA

IMG_9702

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Sunday Manara akitoa lawama kwa mwamuzi Hery Sasii katika  mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC uliomalizika kwa sare ya 1-1 Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. KLABU ya Simbe …

Read More »

PROF. ELISANTE AKABIDHIWA OFISI

PICHA 1

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya  Viwanda, Biashara na Uwekezaji  ambaye amehamishiwa Wizara  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda  akimueleza jambo Katibu Mkuu Wizara ya  Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel wakati wa makibidhiano ya Ofisi,. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara …

Read More »

HII SI AKAUNTI YA RAIS KARIA

kariiiaaaaoo

  Kuna Akaunti mpya wa Twitter inazunguka katika mitandao ya kijamii. Akaunti hiyo yenye jina la Rais wa Shirikisho l Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeanza kutoa taarifa mbalimbali na kuchangia maoni kunakoelezwa kufanywa na Wallace Karia. TFF tunatangaza kuwa hatuitambui akaunti hiyo. Rais Karia hajafungua akaunti ya Twitter. Tunaomba …

Read More »

SPIKA NDUGAI MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 90 YA KANISA KUU LA ROHO MTAKATIFU, DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA

IMGL0567

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katika) akikata utepe wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 90 ya Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) yaliyofanyika leo katika Viwanja vya kanisa kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Askofu wa Dayosisi hiyo, Dkt. Dickson Chilongani. …

Read More »

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA KATIKA SHAMBA LA MITI SAO HILL NA KITUO CHA MALIKALE CHA ISMILA NA KALENGA MKOANI IRINGA

_DSC0345

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza alipotembelea shamba la miti Sao Hill kukakua shughuli mbalimbali zinazofanywa na shamba hilo mkoani Iringa hivi karibuni. Aliagiza uongozi wa shamba hilo kuongeza juhudi za upandaji miti ili kukidhi mahitaji makubwa …

Read More »

LISHE BORA KWA WATANZANIA BADO NI TATIZO

IMG_5187

Naibu Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akiwasilisha taarifa ya utendaji wa shughuli za Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) mbele ya  Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamiii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Peter Serukamba(wa kwanza kulia) leo mjini Dodoma,ambapo imeonekana tatizo la ulaji wa chakula …

Read More »

IGP SIRRO ATAKA JESHI LA POLISI KUDUMISHA MICHEZO

picha ya 3

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa na viongozi wa Jeshi la Polisi  Sambamba na Askari Polisi walioshiriki na kujinyakulia medali mbalimbali katika mashindano ya mchezo wa Taekwondo iliyo andaliwa na Ubalozi wa Jamuhuri ya Korea ukishirikiana na Chama cha walimu wa Taekwondo kutoka Korea. (Korean Taekwondo …

Read More »

UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAIVA

6

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (mbele), akitoka kuangalia ukarabati wa meli ya Mv.  Clarius, katika Bandari ya Mwanza, leo. Meli hiyo inatoa huduma katika visiwa vilivyo kwenye ziwa Victoria. Muonekano wa Meli ya Mv. Umoja yenye uwezo wa kubeba behewa 22. Meli hiyo inasafirisha mizigo kutoka …

Read More »

TIGO WAZINDUA KAMPENI MPYA YA TUMEKUSOMA

t15

    Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma wa kampuni ya Tigo, David Umoh, pamoja na Mtaalam wa Huduma kwa Wateja, Kitengo cha Biashara, Sarah Cyprian wakizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni mpya ya Tumekusoma inayoendana na uzinduzi wa namba mpya ya huduma *147*00#.  Namba *147*00#  itawawezesha wateja wa …

Read More »