Friday , March 22 2019

Home / 2017 / November / 01

Daily Archives: November 1, 2017

MSHINDI WA NYUMBA ATIKISA DAR, MAPOKEZI YAKE SI YA KITOTO

shinda-nyumba-1-1

GEORGE Majaba, mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, Jumanne Oktoba 31, 2017 amewasili jijini Dar es Salaam tayari kwa zoezi la kukabidhiwa nyumba yake aliyojishindia baada ya droo kubwa iliyochezwa Septemba 27, mwaka huu.   Katika mapokezi hayo yaliyopambwa kwa pikipiki, gari la wazi, muziki na …

Read More »

TAYARH Yaanzisha Kampeni Dhidi Ya Ukatili wa Kijinsia

PIX01

Mratibu wa Taasisi inayojihusisha na masuala ya utetezi wa haki za kundi la balehe na vijana (TAYARH) Bw. Lameck Laurence (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mitandaoni ya kuwapatia vijana elimu juu ya uzazi wa mpango na huduma bora za afya leo jijini Dar …

Read More »

RAIS WA TFF KARIA AWAPA POLE SILABU

tff-news-750x350

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametuma salamu za pole kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mtwara (MTWAREFA), Athuman Kambi kufuatia ajali ya gari iliyopata timu ya Silabu ya Mtwara. Gari iliyowabeba wachezaji wa Silabu – mabingwa wa Mkoa …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA HELP AGE INTERNATIONAL

DSC_3836

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani “Help Age International” Bw.Arun Maura alipoongoza ujumbe aliofuatana nao ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) …

Read More »

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YASISITIZWA UMUHIMU WA NISHATI

1

Timu ya Wataalam kutoka Tanzania wakifuatilia kikao cha Kamati ya Nishati cha Baraza la Kisekta la Nishati la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katikati mbele ni Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia masuala ya Nishati na Kiongozi wa Timu ya Wataalam wa Tanzania James Andilile, wa kwanza kushoto ni Mtaalam kutoka Wizara …

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA BAADHI YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI CANADA

PMO_6493

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watanzania waishio nchini Canada, kwenye hoteli ya The Ritz-Carlton Toronto Oktoba 31, 2017 Watanzania waishio nchini Canada,wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipo kutana nao  kwenye hoteli ya The Ritz-Carlton Toronto Oktoba 31, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………..   KUWENI WAZALENDO, WAZIRI MKUU AHIMIZA …

Read More »

YANGA KUIFUATA SINGIDA UNITED KESHO BILA YA NYOTA WANNE

DSC_0765

  Jumla ya wachezaji 22 na viongozi wa Benchi la Ufundi la Yanga kesho saa 11:30 alfajili wanatarajia kusafiri kwa basi kuelekea Singida kwa ajili ya kupambana na Singida United. Timu hizo, zinatarajiwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Namfua huko Singida katika mechi ya LigI Kuu Bara. Yanga inatarajiwa kusafiri …

Read More »

Utendaji wa JPM Wawakuna Wenye Viwanda Mwanza

5

Na Waandishi Wetu, Mwanza na Dar.. *Subash Patel asema Rais ameweka rekodi ya kihistoria  *Azindua viwanda vya juisi, dawa vitakavyoajiri mamia ya watu ZIARA ya Rais John Pombe Magufuli jijini Mwanza imepokewa kwa furaha na wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo ikiwa ni miaka miwili sasa tangu aingie …

Read More »

Wakulima wa Matunda Njombe Kujengewa Uwezo

DSC_0160

Mkulima wa kupigiwa mfano wa kilimo cha Maparachichi Mkoani Njombe, Bw. Reuben Mtitu (kulia) akizungumza na Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) walipomtembelea shamba lake mkoani Njombe kujionea maendeleo ya miradi iliyokopeshwa na Benki hiyo. Pichani ni Kiongozi wa Msafara huo, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya …

Read More »

KOCHA MPYA AZAM FC U-20 AZUNGUMZIA MIKAKATI YAKE

vlcsnap-2017-10-31-13h59m35s12

KOCHA mpya wa timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20), Meja Mstaafu Abdul Mingange, ameweka wazi kuwa moja ya mikakati yake ni kuifanya timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali pamoja na kupandisha wachezaji watakaoongeza nguvu katika timu kubwa. Kocha huyo wa zamani …

Read More »