Friday , October 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / RC RUVUMA,AKABIDHI OFISI NA KUMWAGIZA RC MNDEME MAAGIZO MANZITO KUHUSU TANROAD RUVUMA.

RC RUVUMA,AKABIDHI OFISI NA KUMWAGIZA RC MNDEME MAAGIZO MANZITO KUHUSU TANROAD RUVUMA.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA Dkt BILINITH SATANO MAHENGE ambaye sasa amekuwa mkuu wa mkoa wa DODOMA amemwagiza mkuu wa mkoa wa ruvuma CHRISTINA MNDEME kuhakikisha  kuwa wakala wa barabara mkoa wa RUVUMA TANROAD wasiendeshe bomoa bomoa katika maeneo ya manispaa ya SONGEA kwa sababu wameshindwa kuendeleza barabara hizo na kama watafanya hivyo basi wahakikishe wanalipa pesa kwanza ndivyo wafanye zoezi hilo taarifa kamili hii hapa video yake.

About Alex

Check Also

images

MWAKYEMBE APOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA YA KIFO CHA MTANGAZAJI ISAAC GAMBA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven + 17 =