Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 02

Daily Archives: November 2, 2017

SIMBA JEURI KUELEKEA MBEYA KUZIFUATA POINTI 6 KWA NDEGE

kikosi_simba_ssc

  KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya  ligi kuu Vodacom dhidi ya Mbeya City na Prison huku  kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog akiweka wazi kuwa anataka kuvunja rekodi ambayo ni kuibuka na pointi sita kwenye michezo miwili mbele ya …

Read More »

JAFO: Wafanyakazi Mzigo Hawahitajiki

2

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mjini Mhandisi Victor Seif  akieleza majukumu ya TARURA kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya bunge ya utawala na Serikali za mitaa na kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. Waziri …

Read More »

HII HAPA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

20643831.5444fdd56ea8b

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), hii hapa tena wikiendi hii. Mechi moja inachezwa kesho Ijumaa Novemba 3, 2017 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea ambako mwenyeji Majimaji FC itacheza na Stand United ya Shinyanga. Mchezo huo wa Songea utaanza saa 10.00 jioni (1600h). Jumamosi kutakuwa na michezo mitano …

Read More »

TANZANIA YATHIBITISHA KUCHEZA CHALENJI ZOTE 2017, PIA KUANDAA MWAKANI

DSC_5850-750x350

Baada ya kupita miaka miwili bila kuchezwa kwa mashindano ya kuwania Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki, michuano hiyo imerejea tena msimu huu na Tanzania imethibitisha kushiriki. Nchi wanachama Tanzania Bara, Zanzibar, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Eritrea na Ethiopia. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho …

Read More »

VIDEO:RC .DODOMA NAKUKABIDHI MKOA WA RUVUMA UKIWA SALAMA

NA.1

Aliekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA ambaye ameamishiwa kanda ya kati DODOMA DKT BILINITH MAHENGE amekabidhi ofisi yake rasmi kwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI.CHRISTINE MNDEME ili aweze kuwatumikia wananchi wa mkoa wa RUVUMA huku akimtaka kushirikaina vyema na wafanya kazi wa ngazi wote ili mkujenga  nchi ya viwanda

Read More »

Usimamizi wa Rasilimali za Nchi Wampaisha Rais Magufuli

Pix 1

Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maombi maalum ya kuzuia mvua zisilete madhara kwa jamii mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mchungaji James Mwageni na kulia ni Mchungaji Palemo Massawe. Askofu wa …

Read More »

IoT KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI NA KUIMARISHA UTENDAJI

images

    Mtandao wa Kimawasiliano wa komputa  kwa upana wake  (IoT), si kwaajili ya teknolojia tu, bali hata katika mfumo mpya wa mwingilano wa kibiashara. Awali  Ulitumika moja kwa moja katika viwanda ambapo, wadau mbalimbali walishirikiana kwa karibu kwaajili ya kupata  bidhaa na huduma. Hali hii inaongeza fursa mpya za …

Read More »

MABENKI HAPA NCHINI YATAKIWA KUANGALIA VIWANGO VYA RIBA ZAO

image3

Mhe Gambo akizungumza na watumishi wa NMB na wateja waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la NMB Ngaramtoni …………. Na Mahmoud Ahmad Arusha  Serikali imeyataka mabenki hapa nchini kuangalia upya viwango vya riba zao wanazotoza wananchi ili kuweza kuwafikia wananchi wa kipato cha chini kuweza kukopa hiyo itasaidia ukuaji …

Read More »

BENKI YA KILIMO YATINGA HONG KONG KUTAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI

Hong Kong 5

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Bwana Francis Assenga nara baada ya kupitia Mchoro wa Ramani ya Mkakati wa Kiuchumi wa ‘One Belt One Road’ mjini Hong Kong hivi karibuni kwenye tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kunufaika nazo kupitia Mkakati huo. Kaimu Mkurugenzi …

Read More »