Thursday , March 21 2019

Home / 2017 / November / 03

Daily Archives: November 3, 2017

NAIBU WAZIRI AFYA AIMWAGIA SIFA TFDA

TF1

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Cheti cha Mfumo wa Uhakiki Ubora wa Huduma cha Kiwango cha Kimataifa (ISO 9001:2015) leo Jijini Dar es Salaam. TFDA imekuwa ya kwanza miongoni mwa mamlaka zinazoshughulika na udhibiti …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS

DSC_2222

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AREJEA KUTOKEA NCHINI CANADA

PMO_6738

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea nchini Canada, Novemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson baada ya …

Read More »

U-23 NAYO KUINGIA KAMBINI NOVEMBA 5

OSCAR-MIRAMBO-750x350

Benchi la Ufundi la timu za taifa za vijana, limeita wachezaji 35 kwa ajili ya kambi yenye lengo la mchujo kutafuta kikosi imara cha timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 23 maarufu kwa jina la Kilimanjaro Warriors. Kocha Msaidizi wa timu hizo, Oscar Mirambo alitangaza …

Read More »

TFF YATOA UFAFANUZI WA MALIPO ASFC

TFF-LOGO-1

Wakati Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), ikiwa imeanza jana Novemba 02, 2017 na kuendelea leo Ijumaa na kesho Jumamosi, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ufafanuzi wa malipo kwa hatua hii ya awali. Kwa hatua za awali na hatua ya …

Read More »

KOCHA MAYANGA AFANYA MABADILIKO TAIFA STARS

Mayanga-750x350

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Shabani Mayanga amewaita kikosini viungo Jonas Mkude kutoka Simba na Mudathir Yahya wa Singida United. Mkude na Mudathir wanachukuwa nafasi za Erasto Nyoni na Muzamiru Yassin wote kutoka Simba ambao awali walijumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 walioitwa na …

Read More »

KIKAO CHA NEC CHA KUJADILI RUFAA ZA WAGOMBEA UDIWANI

1-7

Jaji  Semistocles  Kaijage (katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kilichokuwa kinajadili rufaa za wagombea udiwani pamoja uteuzi wa Wanawake wa udiwani wa viti Maalum. Kulia kwake ni Hamid Mahamoud Hamid na kushotoka kwa mwenyekiti ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani  (Picha na NEC)

Read More »

WAZIRI UMMY ASEMA WANANCHI WASIUZIWE DAMU

3

Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam, Kulia ni Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem. …

Read More »

MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.

mavu2

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde na Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV. ……………………………………………………………. Dodoma Mjini  Anthony Mavunde wampongeza Mh. Rais Dk.John Pombe Joseph Magufuli kwa uamuzi wake kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma na hivyo kuongeza fursa za kiuchumi katika mkoa wa …

Read More »

RC Rukwa awaasa watumishi kutotumia vyeo kuwanyanyasa wananchi

Mbili

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akifafanua namna mtumishi anavyotakiwa kuwajibika pindi anapowahudumia wananchi  (aliyekaa) kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa David Kilonzo.  Viongozi wa mashirika ya ya umma na mamlaka mbalimbali za seikali Mkoani Rukwa Waliohudhuria kwenye kikao hicho kilichowakutanisha wakuu wa mamlaka na mashirika ya umma.  …

Read More »

Sekta ya Bima yatakiwa kuajiri wazawa -SERIKALI

kij

  Kampuni za Bima nchini zimetakiwa kuajiri watanzania badala ya mfumo wanayotumia kwa sasa ambapo makampuni mengi yamekuwa yakiajiri wafanyakazi wao kutoka nje yanakotoka, pia sekta hiyo ya bima imeagizwa kuwekeza mitaji yao katika viwanda kuendana na sera nchi ya uchumi wa kati na viwanda.  Naibun waziri wa Fedha Dkt …

Read More »

VIDEO:CWT RUVUMA .WALIMU FANYENI KAZI KWA MAADILI

SAM_6357[1]

Mjumbe wa kamati kuu taifa kutoka chama cha walimu Mkoa wa Ruvuma Mwalimu Sabina Lupukila ametoa wito kwa walimu wote nchini kuacha tabia za kutembea na wanafunzi kwani kufanya hivyo ni kukiuka maadili ya kazi na kulete taswira mbaya kwa jamii kwani mwalimu ni kioo cha jamii,habari kamili hii hapa …

Read More »

BARAZA MADIWANI KISHAPU LAPOKEA TAARIFA ZA MIRADI

4

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kwa ajili ya kupokea taarifa za kata. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Boniphace Butondo akifungua kikao cha Baraza la Madiwani katika ukumbi wa halmashauri. Madiwani wakiimba wimbo wa taifa kabla ya …

Read More »