Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / November / 04

Daily Archives: November 4, 2017

DC SHINYANGA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA 2017

MADU

 Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo Jumamosi Novemba 4,2017 amefungua mkutano mkuu wa wanachama wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC) mwaka 2017. ……………………………………………………………   Mkutano huo mkuu wa SPC ulikuwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kujenga klabu na …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Asteria wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

3

MSHAMBULIAJI wa Taswa Fc, Said Seif (kushoto) akiruka kumkwepa beki wa Polisi Fc, Andew Thomas, wakati wa mchezo wa kirafiki katika Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar esSalaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Katika mchezo huo Taswa Fc ilishinda …

Read More »

MBARAWA AWATAKA WANAGEITA KUTUMIA VIZURI FURSA ZA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MKOANI HUMO

4-3

Sehemu ya wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Geita, wakisikiliza  hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa(hayupo pichani), ambaye alikuwa mgeni rasmi wa sherehe hiyo. …………………………………………….. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewataka …

Read More »

UVCCM YAPIGA MSASA VIJANA WAKE, YAHOJI UTEKELEZAJI WA ILANI.

001

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mjini, Bi.Hudhaima Mbarouk Tahiri akizungumza katika ziara ya Wilaya hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Jimbo la Kikwajuni Zanzibar (PICHA NA AFISI KUU ZANZIBAR) ………………………………………………………………………….. Na Is-haka Omar, Zanzibar. MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Mjini, Hudhaima Mbarouk Tahiri amewasihi vijana …

Read More »

ZANZIBAR KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA NDEGE

02

MAOFISA kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar wakikagua eneo linalotarajiwa kujengwa kiwanja cha ndege huko Kigunda Jomba Mkoa wa Kaskazini Unguja. ……………………………………………………………. Na Salum Vuai, MAELEZO SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar iko katika maandalizi ya ujenzi wa kiwanja kipya kidogo cha ndege kitakachosaidiana na kile cha Abeid Amani Karume kilichoko …

Read More »

Wanafunzi watakiwa kutumia mitandao kupata maarifa

MKUU wa Chuo cha Kodi (ITA), Prof. Isaya Jairo

Wanafunzi wapya katika Chuo cha Kodi wakifuatilia kwa makini maelezo ya Mkuu wa Chuo cha Kodi Prof. Isaya Jairo Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo (aliyesimama) akizungumza na wanafunzi wapya waliojiunga na Chuo hicho kwa muhula wa masomo wa kuanzia 2017/18. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa …

Read More »