Monday , February 18 2019

Home / 2017 / November / 05

Daily Archives: November 5, 2017

NAIBU WAZIRI NISHATI ARIDHISHWA NA MIRADI YA TANESCO MBAGALA

4

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akimsikiliza Meneja wa TANESCO Mkoa wa TEMEKE, Mhandisi Jahulula Jahulula katika moja ya maeneo kunakotekelezwa Miradi ya TANESCO, Mbagala. Wengine ni Wataalam kutoka TANESCO na Wizara ya Nishati. Meneja wa TANESCO Mkoa wa TEMEKE, Mhandisi Jahulula Jahulula (kushoto) akimwonesha Naibu Waziri line za umeme …

Read More »

RC TABORA: PAMBA YA MKULIMA HAITACHUKULIWA KWA MKOPO.

images

NA TIGANYA VINCENT-RS –TABORA SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imesema kuwa malipo kwa ajili zao la pamba yatatolewa pale pale mkulima anapouza mazao yake katika Kampuni zilizopangiwa kununua zao hilo mkoani hapo. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye vijiji na wilaya mbalimbali …

Read More »

MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

PIC 1

Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle (katikati) akitoa msisitizo wakati alipokua akizungumza na Mameneja na wakuu wa vituo kutoka wakala huo (hawapo pichani) kabla ya kuwatunuku vyeti baada ya kumaliza mafunzo ya Manunuzi na Usimamizi wa Mikataba yaliyomalizika mwishoni …

Read More »

TBL ilivyoshiriki matembezi ya kusomesha wauguzi wakunga

matembezi amref 3

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan Baadhi ya wafanyakazi wa TBL katika matembezi ya AMREF ya kuchangisha fedha za kusomesha wauguzi fani ya ukunga Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri …

Read More »

KILA KILO MOJA YA KOROSHO PWANI KUCHANGIA SH.20 KWENYE ELIMU

IMG_20171031_114338

MKUU wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo ,akizungumza na wadau wa korosho katika kikao cha tathmini na maandalizi ya msimu mpya wa zao hilo la biashara,kilichofanyika Mkuranga.(Picha na Mwamvua Mwinyi) Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo ……………………………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga WADAU wa zao la korosho mkoani Pwani ,wamekubaliana kwa pamoja …

Read More »

WANANCHI SIMIYU WAENDELEA NA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

WhatsApp Image 2017-10-31 at 19.26.27

Maafisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakiwachukua alama za Kibaiolojia wananchi wa mkoa wa Simiyu Kijiji cha Mwakiboro wakati zoezi la Usajili likiendelea Wananchi wa Kijiji cha Mwakiboro mkoani Simiyu wakisubiri kupatiwa huduma ya Uandikishwaji Vitambulisho vya Taifa. Zoezi la Usajili likiendelea katika Kijiji cha Kilulu wilayani …

Read More »

Wateja wa Tigo mjini Morogoro wajishindia Tiketi za kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta.

IMG-20171105-WA0011

  Wasanii Roma(kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje(katikati)zawadi ya tiketi ya kwenda kishuhudia Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika leo mjini Morogoro.   Mteja wa Tigo mjini Morogoro, Idrissa Bakari (katikati) aliyejishindia tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Jamhuri leo, akipokea tiketi yake toka kwa …

Read More »

DK. KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA NA KUKAGUA SHUGHULI MBALIMBALI ZA UHIFADHI NA UTALII

gw

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Manyara, Noelia Myonga alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. …

Read More »

MKUU WA MKOA WA RUVUMA BI CHRISTINA SOLOMONI MNDEME AFANYA ZIARA YA KWANZA TOKA AAPISHWE NA MHE RAIS WILAYANI TUNDURU MKOANI RUVUMA

IMG-20171105-WA0004

Mhe Mndeme amefanya ziara ya kukagua mirandi mbalimbali ya maendeleo,Kuzungumza na Watumishi kisha alihitimisha kwa mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero na kuzitatua shida za wananchi viwanja vya Baraza la idi mjini Tunduru wilayani hapa ,Aidha maeneo aliyotembelea ni: Mhe Christina Mndeme alitembelea mahali ilipojengwa ofisi mpya ya Mkuu wa …

Read More »