Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 06

Daily Archives: November 6, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AKIFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  wa pili kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine wa Serikali kuashiria …

Read More »

TANZANIA YATAKIWA KUWAONDOLEA WATU UMASKINI

DSC_4034-e1491795455378

Na Mahmoud Ahmad,Arusha TANZANIA imetakiwa kuwaondolea wakazi wake umasikini ili kuwe na uchumi mkubwa wa viwanda na biashara kwani kwa kufanya hivyo utawaondolea hofu, magonjwa,njaa na shida katika Taifa hili Akizungumza katika miaka 500 ya matengezo ya Kanisa la kiinjili la Kilutheri Duniani, yaliyofanyika katika kanisa la kiinjili  la kilutheri …

Read More »

TATIZO LA MAJI ARUSHA DC KUWA HISTORIA IFIKAPO 2019

images

Na Mahmoud Ahmad Meru Tatizo la maji kwa wakazi wa halmashauri ya Arusha linategemewa kupungua ifikapo mwaka 2018/19 kwa kuongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi hadi kufikia zaidi ya 80% kutoka asilimia 54.2 za sasa. . Hayo yamethibitishwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwele alipokutana na wataalam …

Read More »

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA SOMO KWA LABOUR PARTY UINGEREZA

LUB1

Ndg. Ngemela Lubinga Katibu wa NEC Mwenye dhamana ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwa na wenyeji wake huko nchini Uingereza ambako ametembelea nchi hiyo kikazi na kuwakilisha Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Chama rafiki cha Labour Ndg. Ngemela Lubinga Katibu wa NEC Mwenye dhamana ya Siasa na Uhusiano …

Read More »

Mshindi wa Tigo Supa Nyota Morogoro aahidi makubwa

IMG_20171105_162804

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota toka mkoa Morogoro, Salum Munga akiimba kwenye kinyang’anyiro cha kumpata mwakilishi wa mkoa Morogoro       Majaji wakiendelea na majukumu yao   Mchujo wa washiriki Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota toka mkoa Morogoro, Salum Munga akipongezwa na washiriki wenzake.   ……………………………………………………………. MSHINDI …

Read More »

SERENGETI BOYS KATIKA MAZOEZI LEO

IMG_0637

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Ami Ninje akipanga vifaa kwa ajili ya mazoezi yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Kijitonyama leo Novemba 6, 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF). Wachezaji wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, kutoka kushoto Mohammed Issa, Hamisi …

Read More »

AMINA MOLLEL: WAZAZI MSIWAFICHE WATOTO WENYE ULEMAVU NDANI

woinde 2

 Mbunge wa viti maalumu CCM Amina Mollel akiwa anacheza ngoma ya kimasai pamoja na baadhi ya wamasai waliojitokeza katika sherehe za   kupandisha ngazi ya  rika kutoka katika rika la kurianga kuingia katika rika la Nyangulo (Habari picha  na  Woindeshizza blog )  Mbunge akiwa na wananchi waliouthuria katika sherehe hizo Mbunge wa viti …

Read More »

Katibu Mkuu Madini, akutana na watumishi wa Idara ya Madini

Picha Na 1

Katibu Mkuu wa Madini, Profesa Simon Msanjila akizungumza na watumishi wa Idara ya Madini iliyo chini ya Wizara ya Madini (hawapo pichani) kwenye kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo Novemba 06, 2017 Sehemu ya watumishi kutoka Idara ya Madini iliyo chini ya Wizara ya Madini wakisikiliza maelekezo kutoka …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI.

DSC_3450

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,   cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja, Picha na Ikulu.]  06/11 /2017. Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa …

Read More »

JPM AMERUDISHA NCHI KWA WANANCHI

index

Na Judith Mhina – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amerejesha nchi kwa wananchi na kwamba hayo ni mapinduzi ya ajabu ambayo hayajawahi kutokea katika nchi zetu hususan Afrika. Maneno hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayub Rioba …

Read More »

MAJALIWA RUANGWA INAHITAJI KUWA NA SHULE YA SEKONDARI YA BWENI KWA WASICHANA

PMO_6946

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi, mara baada ya kukagua ujenzi wa shule ya msingi Ng’au, iliyopo kata ya Mnacho Wilayani Ruangwa, Novemba 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema wilaya ya Ruangwa inahitaji kuwa na shule ya sekondari ya wasichana ambayo ni …

Read More »

JESHI LA POLISI KIKOSI CHA RELI MTANDAO WA WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA MIAKA 10 YA KUANZISHWA KWA MTANDAO HUO KWA KUTEMBELEA (JKCI)

Picha no. 1

Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Koplo Grace Ndyamukama akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia. Kulia ni Mama wa mtoto Nasra …

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA RUANGWA WAPANDE MICHE MIPYA YA KOROSHO

images

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa wapande miche mipya ya mikorosho ili waweze kuongeza uzalishaji wa zao hilo. Ametoa wito huo jana (Jumapili, Novemba 5, 2017) wakati akizungumza na wakazi wa kata za Mbekenyera na kata jirani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mbekenyera, wilayani …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA 37 WA UPINZANI

images

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 37 kutoka vyama vya CUF na CHADEMA ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Bw. Barnabas Essau wanachama 35 kati ya hao wametoka CUF na wawili wametoka CHADEMA. Wanachama hao walipokelewa jana (Jumapili, Novemba …

Read More »

WATAKAOKWAMISHA MALIPO YA KOROSHO KUKIONA-MAJALIWA

IMG_0024

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la korosho. “Hatutamuacha mtu yeyote atakayesababisha wakulima kuchelewa kulipwa fedha zao. Tutawakamata wote na kuwachukulia hatua stahiki.” Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili, Novemba 5, 2017) alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika …

Read More »

RC MRISHO GAMBO; NAJIVUNIA KUWA MTEJA WA NMB

url

…………………………………………………………………….. “Nawapongeza sana NMB wamefanya huduma za kipenki kuwa rahisi kuliko kitu chochote kwangu. Nikihesabu nimara ngapi nimekwenda benki kwa mwaka mzima haitofika hata mara tano. Lakini natumia huduma za kibenki kila siku. Ninajivunia kuwa mteja wa NMB. Natumia simu yangu kufanya miamala tofauti tofauti na inanisaidia kutumia muda wangu …

Read More »

Thamani ya mauzo ya hisa yapungua katika soko la hisa DSE

IMG-20161213-WA0006

Thamani ya mauzo ya hisa imepungua kutoka shilingi bilioni 20 ya wiki iliyoisha ya tarehe 27 oktoba  2017 hadi shilingi bilioni 3 kwa wiki iliyoisha Novemba 3 Hayo yamesemwa na afisa muhandamizi wa soko la hisa Marry Kinabo alipokuwa akitoa Tathimini ya mauzo ya hisa kwa wiki iliyoisha ambapo amesema …

Read More »

VIGUTA YAWAPIGA TAFU VIJANA PIKIPIKI 15 KIBAHA-KANYALLU

IMG-20171105-WA0055

Meneja wa Vicoba group union Tanzania (VIGUTA)Mkoani Pwani ambae pia operesheni Meneja Taifa ,Iddi Kanyallu akimkabidhi mwenyekiti wa CHAMAWAPIKI -Mailmoja Kibaha,Ayubu Kijazi pikipiki 15 kwa baadhi ya wanachama wa chama cha madereva wa pikipiki Kibaha ( CHAMAWAPIKI )zilizogharimu milioni 30. (Picha na Mwamvua Mwinyi) Meneja wa Vicoba group union Tanzania …

Read More »

MKURUGENZI KISHAPU AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA IDUKILO

1

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga akizungumza na wananchi wa kijiji cha Idukilo kata ya Idukilo alipokwenda kuhamasisha shughuli za maendeleo. Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Sostenes Mbwilo akifafanua jambo kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki shughuli za maendeleo wakati wa mkutano huo wa …

Read More »