Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / November / 07

Daily Archives: November 7, 2017

TFF YASIMAMISHA MCHEZO WA FORODHANI v AMBASSODOR

azfcj-750x350

Wakati mchezo wa TFF ikisimamisha mchezo wa Azam Sports Federation Cup kati ya Forodhani FC ya Mara na Ambassodor ya Kahama, Mchezo wa Bulyanhulu na Area C, sasa utafanyika kesho Jumatano Novemba 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Mchezo kati ya Forodhani FC ya Mara na Ambassodor …

Read More »

TFF YAANDAA MICHEZO SOKA LA UFUKWENI

TFF-LOGO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litatoa mafunzo ya soka la ufukweni (Beach Soccer) kwa vyuo mbalimbali hapa nchini vilivyothibitisha kushiriki Ligi Maalumu ya soka la Ufukweni itakayoanza Novemba 18, 2017. Kwa upande wa mafunzo ni kwamba yatafanyia siku tano kabla ya kuanza kwa ligi hiyo ambako itakuwa ni …

Read More »

SAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12

photonews-10625441-050-jpg_1485903153

  NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ anayekipiga na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atakuwa nje ya uwanja kwa majuma sita akiuguza majera ya goti aliyopata katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa sare tasa dhidi ya Lokeren.   Samatta alishindwa kuendelea na mchezo baada kuumia …

Read More »

Vijiji Vyote Visivyo na Umeme Kupata Umeme Ifikapo 2020/21

DSC_2252

Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma. Serikali imesema itahakikisha vijiji vyote visivyo na umeme vinapata umeme kupitia mradi wa kupeleka umeme vijijini awamu ya Tatu (REA-III) unaotegemewa kukamilika mwaka 2020/21. Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni, Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu alipokuwa akijibu swali la …

Read More »

MTU MMOJA AMBAYE HAJATUMBULIWA AMEKUTWA AMEKUFA

2

  NA TIGANYA VINCENT RS –TABORA   MTU mmoja ambaye jina lake halijatambulika na maeneo ambayo anaishi amekutwa amekufa na mwili wake kutelekezwa katika Barabara ya Mwanza eneo la Kiwanda cha Nyuzi Tabora kilichopo Kata ya Tambukareli Manispaa ya Tabora.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Wilbroad Mutafungwa amethibitisha …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI

IMGL5083

Waziri MKuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma Waziri MKuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Umi Mwalimu, wakati …

Read More »

TBL SUPPORTS EFFECTIVE MANAGEMENT OF WATER

Roberto dar conference 6

TBL Group  Managing Director and AB-INBEV President  for East Africa, Roberto Jarrin (R) makes a point during The World Bank’s Tanzania Economic Update meeting  held  in Dar es Salaam . Others in photo (from Left) are Hon.January Makamba (Minister of State in the Vice President’s Office for Union Affairs and …

Read More »

Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Kwa Kushirikiana Na Hospitali Ya Saifee Ya Nchini India Wanatarajia kuwafanyia Upasuaji Wagonjwa 18 Wenye Matatizo Ya Moyo

Picha no. 2

Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya upasuaji ya siku sita inayoendelea …

Read More »

WADAU WAJADILI CHANGAMOTO ZA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

PIX3

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira akizungumza katika warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS)  leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Bibi. Bella Bird, Mratibu wa …

Read More »

KATIBU MWENEZI CCM EDWIN BASHIR WAPINZANI ACHENI SIASA ZA MAJI TAKA

IMG_0895

 Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) manispaa ya Iringa Edwin Bashir akiwahutubia wananchi wa kata ya Kitwiru katika uchaguzi mdogo wa kumpata diwani atakayekuwa kiongozi wa kata hiyo huku CCM wakimuombea kura mgombea wao Baraka Kimata  Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi (CCM) …

Read More »

MIAKA MIWILI YA JMP YALETA FARAJA MOI

Pix 01

Meneja Uhusiano toka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)  Jumaa  Almasi (katikati) akielezea mafanikio ya taasisi hiyo katika kipindi cha miaka miwili ya Utawala wa Rais John Pombe Magufuli mapema hii leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Uhusiano wa taasisi hiyo Patrick Mvungi na kulia ni Afisa Habari …

Read More »

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHE. DKT.MPANGO, AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA KWA MWAKA 2018/19 NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2018/19

IMG_4297

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/2019 na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2018/2019. ……………. UTANGULIZI   Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama …

Read More »

SAFARI YA NDEMLA KWENDA SWEDEN YASOGEZWA MBELE

Ndemla

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapenda kuwafahamisha kuwa  safari ya mchezaji wetu Hamis Said Juma Ndemla iliyokuwa ifanyike leo Jumanne imesogezwa mbele. Ndemla ambaye amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden ,sasa ataondoka nchini siku ya Alhamis ya tarehe 9 ya mwezi …

Read More »

MOYES KOCHA MPYA WA WEST HAM

_98645971_21e589cb-5428-4dd8-8e9e-74e35f108230

Kocha Mkuu wa zamani wa Everton na Manchester United David Moyes amechukua ya Slaven Bilic, ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu wakati klabu hiyo ikiwa katika nafasi ya kushushwa daraja. Moyes amekuwa bila kazi tangu mwezi Mei wakati alipojiuzulu kama mkufunzi wa Sunderland baada ya klabu hiyo kushushwa daraja. Mwenyekiti …

Read More »

JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA

jafo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali(Tamisemi) Selemani Jafo …………….   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) amesema jumla ya watumishi wa Sekta ya Afya wapatao 2058 wamekwisha pangiwa vituo vya kazi kuanzia …

Read More »

AZIMIO LA “BALFOUR” SIO MNASABA WA KUSHEREHEKEA

317146C

Imeandikwa na Rais wa Taifa la Palestina,Mheshimiwa Mahmuud Abbas Waingereza wengi hawamjui “Sir.Arthur James Balfour”ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu mwanzoni mwa karne ya ishirini, lakini jina lake ni maarufu sana kwa Wapalestina wapatao milioni kumi na mbili. Katika kumbukumbu ya azimio la Balfour,serikali ya Uingereza inalazimika kutumia fursa hiyo ili …

Read More »

WILAYA YA KISHAPU INATARAJIA KUPOKEA MILIONI 321 KUTOKA TEA KWA AJILI YA KUJENGA NA KUKAMILISHA MIUNDOMBINU YA SHULE ZA MSINGI

2

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga aakikagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vine vya madarasa katika shule ya msingi Migunga kata ya Mwataga. Afisa Elimu Ufundi, Moshi Balele (wa pili kulia) akimpa maelezo kuhusu mradi huo Mkurugenzi Mtendaji, Stephen Magoiga (kulia). Mafundi wakiendelea na ujenzi wa …

Read More »