Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 08

Daily Archives: November 8, 2017

JOKATE AKUNWA KUONA TOT BADO IMARA NA IKIENDELEA KUTOA NYIMBO ZENYE UBORA WA HALI YA JUU, YAREKODI NYIMBO MPYA ZA MKUTANO MKUU WA CCM NA JUMUIA ZAKE

BN640001

Jokate na Khadija Kopa wakati wa mazoezi ya TOT NA BASHIR NKOROMO Kaimu Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM (UVCCM) Jokate Mwengelo amesema amefurahi na kufarijika sana kuona kundi la Tanzania One Theatre (TOT) likiwa bado lipo imara na kuendelea kutoa nyimbo mpya zenye …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 8,2017

8675-Mwenyekiti Zungu

Mweyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu …

Read More »

Wakandarasi Wanaovunja Mikataba Wachukuliwe Hatua – Jumaa Aweso

8796- Naibu Awesu

Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe.Juma Aweso akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma. …………………. Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma. Serikali imewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri kuwachukulia hatua wakandarasi wa maji wanaokiuka mikataba …

Read More »

Serikali Yatenga Bil. 2.2 Kupunguza Madeni ya Wakandarasi

images

Na Beatrice Lyimo – MAELEZO – DODOMA Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2017/2018 Jeshi la Polisi limetenga jumla ya shilingi  Bilion 2.2 kwa ajili ya kupunguza madeni ya Wakandarasi waliotekeleza miradi mbalimbali ya Jeshi hilo.  Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni leo …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI DARAJA LA PILI

TFF-LOGO

Mechi namba 1 Kundi B (Pepsi 1 v Madini 1). Pepsi imepigwa faini ya sh. 100,000 (laki moja) kwa kuchelewa kwenye kikao cha maandalizi (pre match meeting), na pia kufika uwanjani. Adhabu hiyo imezingatia Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Pili. Mechi namba 9 Kundi B (Madini 1 v …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WAPUNGUA KUTOKA ASILIMIA 5.3 HADI ASILIMIA 5.1

PICHA NAMBA 1

Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Oktoba, 2017 ambao umepungua hadi kufikia asilimia 5.1 ikilinganishwa na asilimia 5.3 ilivyokuwa mwezi Septemba, …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI DARAJA LA KWANZA

bodi1-600x350

Mechi namba 16 Kundi A (Friends Rangers 1 v African Lyon 1). Klabu ya African Lyon imepewa Onyo Kali kwa timu yake kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi ikiwa na maofisa pungufu, kitendo ambacho ni kinyume na Kanuni ya 14(2b) ya Ligi Daraja la Kwanza. Adhabu hiyo ni kwa mujibu …

Read More »

MATUKIO NA UAMUZI LIGI KUU YA VODACOM

Wambura-4-750x350

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imepitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja Pili (SDL) na kufanya uamuzi ufuatao. Mechi namba 54 (Simba 4 v Njombe Mji 0). Klabu ya Simba imepewa Onyo Kali …

Read More »

Chaneli Mpya ya Filamu za Kiswahili Kuzinduliwa Jijini Dar

tv1

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akizungumza katika mahojiano maalum ikiwa nisehemu ya maandalizi ya Kipindi cha Amka Badilika kitakacho kuwa kinarusha hewani na Chaneli mpya ya Filamu za Kiswahili za Tanzania ya JTV hivi karibuni. Kushoto ni Mtangazaji wa kipindi hicho Saitus Mtimbe. Mtangazaji wa …

Read More »

HATUA YA KWANZA ASFC KUFUNGA KAZI

azfcj-750x350

Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), inaendelea kesho Alhamisi Novemba 9, 2017 kwa michezo saba ambako Dar City itacheza  na Majimaji Rangers ya Lindi. Mchezo huo utafanyika kwenye Uwanja wa Bandari jijini Dar es Salaam huku Real Mojamoja ya Iringa ikiwa wenyeji wa …

Read More »

RASMI; MBWANA KUIKOSA BENIN

MBWANA-ALLY-SAMATTA-08.111-750x350

Sasa ni rasmi, Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Mbwana Ally Samatta, atakosa mchezo kati Tanzania na Benin utakaofanyika Novemba 12, 2017 kwa sababu ya majeraha ya goti. Taarifa kutoka kwa matatibu wa Genk ya Ubelgiji, zinasema kwamba Mbwana Samatta anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mdogo na …

Read More »

BCX YAZINDUA ‘UHURU PAY’

3

Mkurugenzi Mtendaji wa Business Connexion (BCX) Tanzania , Seronga Wange akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya ya malipo ya nauli za daladala kielektroniki ijulikanayo kama ‘Uhuru Pay’ iliyozinduliwa na Kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MISENYI NA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA SUGAR, MISENYI MKOANI KAGERA

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani hapo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika wakati wananchi wa Misenyi walipokuwa …

Read More »

NEC yakiridhia kuhamishwa vituo 21 vya kupigia kura Mbweni

0V5A0017

Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhaniakiwa na kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Malindi Estate ambayo ipo kwenye nyumba ya mmoja wa wagombea wa Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Kata ya Mbweni.Picha na NEC. ……………………………………………………………….. Hussein Makame-NEC TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imejiridhisha kuwa uamuzi wa kuvihamisha …

Read More »

Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA yafuta usajili wa Dawa

unnamed2

Na. Prisca Libaga-MAELEZO, Arusha. Mamlaka ya chakula na dawa TFDA  imezifutia usajili dawa mbalimbali za kutibu magonjwa ya binadamu na kuziondoa  kwenye soko pamoja na kusitisha  matumizi yake  kutokana na kuwa na madhara makubwa kwa wagonjwa. Hayo yameelezwa jana Jijini Arusha na Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Bw. Hiiti Sillo, alipokuwa akifungua …

Read More »

KISHAPU WAANZISHA MRADI WA SAMAKI

6

Mojawapo ya vifaa kwa ajili ya mradi wa bwawa la samaki, pampu ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo ikikabidhiwa kwa wanakikundi cha mradi huo kijiji cha Lubaga. Wanakikundi na sehemu ya wananchi wa kijiji hicho wakitayarisha bwawa tayari kwa ajili ya kusimikwa vifaa na kuwekewa maji tayari kwa kuanza kupandikiza …

Read More »

KAMPUNI YA UDALALI YA MSAMA AUCTION MART YAENDELEA NA MSAKO WA CD FEKI JIJINI DAR ES SALAAM

3

Mkurugenzi wa Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jana katika kituo cha Polisi Kanda Maalum Dar es salaam kabla ya kuanza kwa msako huo. ……………………………………………………………… Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Mamlaka ya Mapato …

Read More »