Monday , February 18 2019

Home / 2017 / November / 09

Daily Archives: November 9, 2017

UVCCM WILAYA YA GEITA YAVUNA VIJANA 50 WA CHADEMA

DSC_0533

Katibu wa UVCCM wilaya ya Geita Ally Rajabu akiongozana na baadhi ya vijana wakati wa zoezi la kuweka bendera za chama hicho kwa mabarozi wa kijiji cha Buligi kata ya senga ambapo kunatarajia kufanyika uchaguzi hivi karibu wa kiti cha Diwani.   Vijana wa UVCCM wakisimika bendera ya chama cha …

Read More »

WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017

IMG-20171109-WA0043

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Angelina Madete, akizungumza wakati akiifungua warsha ya kimataifa ya wanachama wa Umoja wa Posta Afrika kwa nchi zinazozungumza Kiingereza, ilioanza jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Mount Meru, Novemba 6 na kumalizika Novemba 10, 2017. Mwakilishi …

Read More »

4 of 1,813 JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

2

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akisisitiza umuhimu wa Wakuu wa Mikoa Kusimamia Kampeni ya uanzishwaji wa viwanda 100 katika kila Mkoa wakati akizindua kamapeni hiyo leo Mjini Dodoma. Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman   Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa …

Read More »

DStv inakuletea chaneli maalum itakayoonyesha Tuzo za AFRIMA 2017

index

Wateja wa DStv wamepata nafasi ya kushuhudia Tuzo kubwa Afrika zinazotoa heshima na kutambua mchango wa wasanii kutoka Afrika,  kimataifa. Ni Tuzo za AFRIMA (The All Africa Union Music Award channel) ambazo zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii na DStv imekuletea chaneli maalum kwa ajili ya kuonyesha matukio yote muhimu na utoaji …

Read More »

JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO

kabati

Mbunge wa viti maalum Ritta Kabati akikabidhi saruji kwa uongozi wa shule kabla ya kuanza ukarabati katika shule ya msingi Igeleke. Kabati  (mwenye njano) akishirikiana na wananchi kubeba zege kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Igeleke …………………………………………………………………………. NA DENIS MLOWE, IRINGA   MBUNGE Wa viti maalum Mkoa Wa …

Read More »

KIGAMBONI KINARA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

Pix 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Mikoa na Halmashauri nchini kabla ya kutoa Tuzo kwa Mikoa na Halmashauri zilizofanya vizuri katika kuwawezesha wanawake kiuchumi. Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza …

Read More »

TIMU NANE ZAFUZU ROBO FAINALI SPANEST CUP

spanest

Mratibu wa mashindano kutoka Spanest, Godwell Ole Meing’ataki akikabidhi moja ya seti ya jezi kwa nahodha wa timu ya soka ya kijiji cha Ilolo Mpya, Esau Mwashambwa. Mratibu wa mashindano kutoka Spanest, Godwell Ole Meing’ataki akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi wa timu zilizoingia hatua ya robo …

Read More »

CHIRWA MCHEZAJI BORA VPL MWEZI OKTOBA

WhatsApp-Image-2017-11-05-at-13.34.28-750x350

Mshambuliaji wa Young Africans ya Dar es Salaam, Obrey Chirwa amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2017/2018. Chirwa raia wa Zambia alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, beki Erasto Nyoni wa Simba na mshambuliaji Ibrahim Ajibu pia wa Young Africans …

Read More »

RIDHIWANI AKERWA NA MIRADI VIPORO PIA AIGEUKIA TARURA IJENGE USHIRIKIANO

IMG_20171108_152337

Mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete akizungumza jambo na madiwani na watendaji wa halmashauri ya Chalinze katika kikao cha baraza la madiwani(picha na Mwamvua Mwinyi) Baadhi ya madiwani na watendaji wa halmashauri ya Chalinze wakimsikiliza Mbunge wa jimbo hilo ,Ridhiwani Kikwete hayupo pichani(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………………………….. Na Mwamvua …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 9,2017

9117-Spika

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni  Mhe.Freeman Mbowe wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo Bungeni  Mjini Dodoma. Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo  kwa Waziri Mkuu wakati wa kikao …

Read More »

Dk.SHEIN AKUATANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,

DSC_3695

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na  kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali, sambamba na kupokea Milioni tano kwa …

Read More »

HATUJASHINDWA KUCHUNGUZA MATUKIO YA KIHALIFU-MAJALIWA

PMO_7489

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, kabla ya kuanza kikao cha Bunge mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu swali la papo kwa papo, leo bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. (Picha na Ofisi …

Read More »

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA: MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KALETENI MABADILIKO KATIKA MAENEO YENU.

Picha-2

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii Bibi. Sihaba Nkinga  katika Mkutano wa wataalam wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii unaomalizika leo Mjini Dodoma na kuwasisitiza kwenda kuleta mabadiliko sehemu walizopo. ……………………………………………………………. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW Na Kitengo cha Mawasiliano …

Read More »

WAKILI FEKI AKAMATWA MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA ARDHI

WAKILI FEKI 1

 Bw. Jeremiah Ragita aliyejifanya kuwa Wakili akitokea Kampuni ya Sheria ya Faithful Attorney Advocates kwa mujibu  wa Naibu Msajili, Mahakama ya Ardhi, Mhe. Frank Mahimbali anasema Wakili huyo feki alikamatwa mapema Novemba 08 katika Mahakama hiyo akimsimamia Mleta maombi Nunu Mhusin Mkwata. ……………………………………………….. Mhe. Mahimbali anasema kuwa upande wa pili …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA UNFPA NCHINI

DSC_3611

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto) Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo,[Picha na Ikulu.] 09 /11/2017. Rais wa Zanzibar …

Read More »

WAHAMIAJI HARAMU WANASWA WAKIHAHA KUTAFUTA CHAKULA-RPC SHANNA

IMG_20170727_130233-1

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani RAIA 18 kutoka nchini Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Pwani ,kwa kosa la kuingia nchini bila kibali . Kamanda wa polisi mkoani Pwani Jonathan Shanna alisema wahamiaji hao walikamatwa eneo la Pera kata ya Pera wilaya ya kipolisi chalinze wakiwa wamejitokeza kwenye barabara kuu wakitafuta …

Read More »

“TAHLISO YAIOMBA HESLB KUHARAKISHA FEDHA ZA WANAFUNZI VYUONI”

IMG-20171108-WA0055

JUMUIYA wa Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) wameiangukia bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (HESLB) kuharakisha fedha za wanafunzi waliofeli baadhi ya masomo kwa kupata alama D waliopo vyuoni(Supplementary). Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo,Stanslaus Kadugalize wakati akizungumza na mtandao huu ambapo alisema idadi …

Read More »