Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 10

Daily Archives: November 10, 2017

Goodnews: Upasuaji Aliofanyiwa Samatta Umemalizika Salama

20171110_201501-640x475

Ni taarifa njema kwa watanzania wote hususan wadau wa soka kwamba, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta upasuaji wake wa goti umefanyika na kumalizika salama. Samatta aliumia goti November 4, 2017 wakati akiitumikia klabu ya ya KRC Genk ya Ubelgiji na kushindwa kuendelea na mechi dhidi ya Lokeren mchezo ambao …

Read More »

AVEVA, KABURU NA MALIZI WARUDISHWA TENA RUMANDE

AVEVA

  Kesi ya utakakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Mwesigwa Selestine, jana iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Novemba 17, mwaka huu. Mbali na Malinzi na Mwesigwa kurudishwa rumande katika Gereza la Keko, pia aliyekuwa …

Read More »

DIASPORA WAGUSWA NA KAMPENI YA UJENZI OFISI ZA WALIMU 402 DAR

makonda+walevi_1

Jumuiya ya watanzania wanaoishi Diaspora (Marekani) ijulikanayo kama  *Sixth Region Diaspora Caucus Washington* kwa pamoja wameamua kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam _*Mh Paul Makonda*_ kutatua changamoto za ofisi za walimu wa mkoa huu kwa kutoa *makontena 36* ya samani mbalimbali zikiwemo *viti vya kisasa …

Read More »

Serikali Kuendelea Kuimarisha Matibabu Ya Saratani Nchini

9863-Mhe.KIgwangala

Frank Mvungi- Maelezo , Dodoma Serikali imesema itaendelea Kupanua wigo wa Upatikanaji wa huduma za Matibabu kwa wagonjwa wenye saratani ili Kupunguza msongamano katika Hosipitali ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Leah Komanya Bungeni kwa niaba ya Waziri wa Afya Maendeleo …

Read More »

DC KAPUFI”WAFANYABIASHARA WA NYAMA WASIBUGUZIWE NA MTU YOYOTE YULE WAUZE KWA BEI WANAZOTAKA”

DSC_0361

(Katikati) ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Geita ,Leornad Kiganga Bugomola,akifuatiwa(kulia) na Mkurugenzi wa halmashauri hiyo,Mhandisi Modest Aporinal pamoja na makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo,Costantine Molandi wakati wa kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo.   Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Geita,Leornad Kiganga Bugomola akielezea tatizo la …

Read More »

Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza

P5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel akiongoza kikao alipokutana na uongozi wa kiwanda cha Uzalishaji wa Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited) katika ziara yake ya kikazi jana Wilayani Kibaha. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Ramson …

Read More »

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA

index

 Na Emmanuel J Shilatu  -Iringa, Tanzania Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa za Mafunzo ya Ufundi, pamoja na mafunzo ya UWELEDI mahali katika sehemu zao za kazi ili kuweza kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa Ajira kwa Vijana. Akizungumza na vijana wa chuo cha Ufundi cha Don Bosco Mkoani Iringa, ambao wanapatiwa …

Read More »

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO

DSC_2219

  Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni   Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo   maharusi wakiwa na kaka …

Read More »

ZANTEL YAZINDUA PROGRAMU YA ‘GRADUATE SALES FORCE PROJECT’

DSC_4992

Meneja Mauzo na Usambazaji Zantel, Haidari Chamshama akizungumza na Wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini ambao wanafanyakazi kama Wauzaji wa huduma na bidhaa za Zantel leo katika makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es salaam kabla ya kutawanyika na kuelekea katika sehemu mbalimbali za kazi zao. Wahitimu hao wa …

Read More »

WAZAZI WAASWA KUWASOMESHA WATOTO WA KIKE

53344

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Spring Valley iliyoko katika manispaa ya Iringa wakiwa katika mafunzo ya vitendo shuleni hapo Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Springa Valley wakiwa katika picha ya pamoja Wanafunzi wa shule ya wasichana ya Spring valley wakicheza muziki katika …

Read More »

WCS WAIPIGA MSASA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI WAGA

IMG_1401

 Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamhuri William aliwakata wanajumuiya ya hifadhi ya wanyamapori WAGA kuzitunza rasilimali za wanyama pori kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo kama wao walivyotunziwa na wananchi waliokuwepo miaka ya huko nyuma Mratibu wa shughuli za uhifadhi kwa jamii katika shirika lisilo la kiserikali (WCS) Anna …

Read More »