Friday , January 18 2019

Home / 2017 / November / 11

Daily Archives: November 11, 2017

Wasanii watembelea Duka la Tigo mjini Mtwara

IMG-20171110-WA0024

Wasanii Stamina na Chege wakiwa na mtoa huduma ya mauzo wa duka la Tigo Mtwara, Farida Salum wakiangalia simu zinazouzwa, mara baada ya wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea duka hilo leo.   Wafanyakazi wa duka la Tigo mjini Mtwara wakipiga picha ya pamoja na msanii Janjaroo.   Wateja wakipata huduma …

Read More »

WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE

01

 Baadhi ya  Girl Guides ambao ni wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Manispaa ya Temeke wakionesha moja ya alama muhimu za Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), baada ya kupata mafunzo ya awali  katika Shule ya Msingi Mbagala, Dar es Salaam leo. Wanafunzi wa kike 250 walishiriki mafunzo hayo yaliyoendeshwa na …

Read More »

TAWA, Polisi wakamata jangili, meno ya Tembo

IMG-20171111-WA0045

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Maafisa wa Uhifadhi wa Wanyamapori wamefanikiwa kumkamata jangili akiwa na meno ya Tembo 5 yenye thamani ya MIL 100 name mshitakiwa yuko kituo cha Polisi morogoro. Sehemu ya shehena ya meno ya tembo iliyokamatwa. Taarifa kutoka kwa jeshi la Polisi …

Read More »

MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA

UF3A8903

Shule ya Sekondari Kom iliyopo mjini Shinyanga leo Jumamosi Novemba 11,2017 imefanya mahafali ya 9 ya kidato cha nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2006. ……………………………………………………………..   Mgeni rasmi katika mahafali ya tisa ya kidato cha nne mwaka 2017 yaliyohudhuriwa na wazazi na wageni mbalimbali alikuwa mkuu wa wilaya …

Read More »

Kamati Kuu ya AFCON yazinduliwa

IMG_9730

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya AFCON under 17 mikakati mbalimbali itakayosaidia kufaikisha mashindano ya 2019 yatakayofanyika nchini (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bw Leodgar Tenga Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya AFCON Bw Leodgar Tenga …

Read More »

SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

PIC 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza wakati alipokwenda kuzindua Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma.  Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni  Mbunge wa  Jimbo la Amani, Zanzibar. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Waziri wa …

Read More »

ROLI LASABABISHA AJALI MBAYA MKOANI KILIMANJARO

index1

Kuna taarifa za Ajali mbaya ililyotokea muda huu maeneo ya Kikavu  karibu na Kwasadala Mkoani Kilimanjaro baada ya Roli   kubwa   lililokuwa lililokuwa likilipita  gari lingine  kukutana uso kwa uso  na Gari ndogo aina ya Noah lililokuwa imebeba abiria likitokea Moshi mjini kwenda  Sanya juu  mkoani Humo.Inasadikika  Ajali hii  imesababisha  vifo …

Read More »

RC MAHENGE ATOA NENO KWA WATUMISHI DODOMA

NA 4

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Binilith Mahenge akikagua kitalu cha miche ya Mikorosho ambayo itaanza kugaiwa bure kwa wananchi kwa lengo la kuipanda na kukuza kilimo cha zao la korosho wilayani Mpwapwa Sehemu ya Kitalu cha Miche ya Mikorosho kilichopo eneo la Magereza Mpwapwa, jumla ya tani sita …

Read More »

WALIMU WA LESENI WALIOKIUKA MASHARTI YA MKATABA WA LESENI HAWATATAMBULIKA SERIKALINI KWA MUJIBU WA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA

002

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kulia) akibadilishana uzoefu wa masuala ya kiutumishi na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Bw. Juma Homera (kushoto)  mara baada ya kuwasili wilayani Tunduru katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma. Katibu Mkuu, Ofisi …

Read More »

AZAM FC WAIZAMISHA TANZANIA U-23

271A8879

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, asubuhi hii imeichapa timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 mabao 2-0, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa nyasi za kawaida kwenye viunga vya Azam Complex. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa pande …

Read More »

ITALIA HATIHATI KUKOSA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

_98706575_buffon

Kocha mkuu  wa Italia Giampiero Ventura amesema taifa lake litahitaji kucheza kwa ustadi sana mechi yao ya marudiano katika mechi za muondoano wa kufuzu dhidi ya Sweden kuzuia kukosa kufuzu kwa Kombe la Dunia mara ya kwanza tangu 1958. Sweden walishinda mechi ya kwanza 1-0 uwanjani Friends Arena, bao pekee …

Read More »

TAARIFA YA WAZIRI WA AFYA,UMMY MWALIMU YA MWEZI SEPTEMBA NA OKTOBA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI

IMG-20160129-WA0139

  Ndugu Wanahabari, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inaendelea kutoa taarifa za ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeendelea kuwepo katika mikoa kadhaa hapa nchini ukiwa unaongezeka na kupungua kwa vipindi tofauti. Ndugu Wanahabari, Kwa kipindi cha kuanzia tarehe 01 Septemba 2017 hadi 30 Septemba 2017, jumla …

Read More »

YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI

abasi1

“Ofisi yangu ina jukumu la kutoa taarifa sahihi na kwa wakati ya Serikali; Kusajili na kufungua Magazeti; Kusaidia Watu wa mifumo mingine ya Serikali kusema” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu “Uhuru wa vyombo vya habari upo wa kutosha. Serikali imeruhusu uhuru wa Vyombo vya habari. Kuna Redio zaidi ya 150, tuna …

Read More »

TECNO KUSHIRIKIANA NA VODACOM KUITAMBULISHA PHANTOM 8 NCHINI

001.TECNO

Kampuni  kinara ya simu za mkononi  TECNO  imeungana na Vodacom kutambulisha toleo jipya TECNO Phantom 8, Simu hiyo iliyozinduliwa nchini Dubai imetambulishwa rasmi nchini Tanzania katika duka la TECNO SMART HUB lililopo Mlimani City mapema mwezi huu. Akizungumza wakati wa utambulisho ,  Afisa mahusiano wa TECNO , Eric Mkomoya  amesema …

Read More »