Monday , October 15 2018

Home / BURUDANI / Alpha Abdul ashinda kinyang’anyiro cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 Mtwara

Alpha Abdul ashinda kinyang’anyiro cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 Mtwara

 
Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota toka mkoa Mtwara, Alpha Abdul akionesha umahiri wake wa kufokafoka kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka mshindi wa shindano hilo la kusaka vipaji leo.

 

Tano bora walioingia kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 mkoani Mtwara.

 

Majaji wakiongozwa na Nickson George (katikati) wakijadili jambo.

 Tatu bora walioingia kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota Mtwara.

 

 

About bukuku

Check Also

ETO 2

SAHNGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO’O JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group na Rais wa kitengo cha Masoko cha ABINBEV kanda ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fourteen − eight =