Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

PIC 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza wakati alipokwenda kuzindua Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma.  Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni  Mbunge wa  Jimbo la Amani, Zanzibar. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde na anayefuatia ni Mbunge wa Kijitoupele, Mhe. Shamsi Vuai Nahodha.

PIC 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)  akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa  Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma.  Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni  Mbunge wa  Jimbo la Amani, Zanzibar na  ayefuatia ni  Naibu Waziri  wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula . Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mhe Antony Mavunde na Mbunge wa Kijitoupele,  Mhe. Shamsi Vuai Nahodha.

PIC 3

  Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiweka Jiwe la msingi la  Ujenzi wa Awamu ya pili ya Hoteli ya Fantasy iliyopo Msalato, Mjini Dodoma.  Kulia kwake  ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni  Mbunge wa  Jimbo la Amani, Zanzibar na kushoto kwake  ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mhe Antony Mavunde

PIC 4

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipanda Mti mara baada ya kuzindua Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma.

 

 

PICHA NA BUNGE

About Alex

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 + 10 =