Monday , October 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO:KATIBU MKUU NDUMBARO :WATUMISHI WA WIVIVU TUTAPAMBANA NAO

VIDEO:KATIBU MKUU NDUMBARO :WATUMISHI WA WIVIVU TUTAPAMBANA NAO

Katibu mkuu ofisi ya rais utumishi na utawala bora DKT Lauren Ndumbaro amewataka watumishi wote kuwa wazalendo na kuwatumikia wananchi na wafanyakazi ili kuijenga nchi yetu ya Tanzania hayo yamesemwa wakati akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kuzungumza na watumishi wa umama wa manispaa ya songea habari makili hii hapa video yake

About Alex

Check Also

Mwakyembe+pic

Wadau wataka Kiswahili kitumike kama Lugha ya Kufundishia

Na Shamimu Nyaki – WHUSM Wadau mbalimbali wameishauri Serikali kufikiria namna ya kutumia lugha ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × 5 =