Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO:NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AMEWATAKA WANAWAKE NCHI KUJENGA MAZOEA YA KUFAYA MAZOEZI MARA KWA MARA

VIDEO:NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AMEWATAKA WANAWAKE NCHI KUJENGA MAZOEA YA KUFAYA MAZOEZI MARA KWA MARA

Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Tulia Aksoni ameendesha arambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoaani Ruvuma kwa ajili ya kujenga hodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji,pia naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi wa mbio hizo habari kamili hii hapa video yake.

About Alex

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × 3 =