Monday , February 18 2019

Home / BURUDANI / Wasanii watembelea Duka la Tigo mjini Mtwara

Wasanii watembelea Duka la Tigo mjini Mtwara

Wasanii Stamina na Chege wakiwa na mtoa huduma ya mauzo wa duka la Tigo Mtwara, Farida Salum wakiangalia simu zinazouzwa, mara baada ya wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea duka hilo leo.

 

Wafanyakazi wa duka la Tigo mjini Mtwara wakipiga picha ya pamoja na msanii Janjaroo.

 

Wateja wakipata huduma leo.

 

Mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakishuhudia wasanii waliotembelea duka la Tigo mtaa wa stand kuu mjini Mtwara.

 

Wasanii Genevieve na Lulu Diva wakimkabidhi Fulana na Tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta mjini Mtwara, Ramadhani Kimango

 

Wasanii Madee na Mr. Blue wakimkabidhi zawadi fulana na tiketi mteja wa Tigo, Hassan Mussa ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta mjini Mtwara leo.

 

Msanii Aslay akijiselfisha na wafanyakazi wa duka la Tigo Mtwara.

 

Mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakishuhudia wasanii waliotembelea duka la Tigo mtaa wa stand kuu mjini Mtwara.

 

About bukuku

Check Also

image-1

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

Si wengine ile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

14 − 4 =