Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 12

Daily Archives: November 12, 2017

Mkutano wa vijana (Young Leaders Forum 2017) kufanyika jijini Dar es salaam

cre2

Ofisa Program Msaidizi wa OSIEA, Adam Antony Mkurugenzi Mtendaji wa Mulika Tanzania, Hussein Melele. ……………………………………………………………………………………….. NA MWANDISHI WETU  JUMLA ya vijana 120 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika, wanatarajiwa kuhudhuria kongamano la vijana viongozi, litakalofanyika kuanzia Novemba 15 hadi 17 mwaka huu Jijini Dar es Salaam.  Kongamano hilo lililoandaliwa na kuratibiwa …

Read More »

VIDEO: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TRA

tanzania-tra-pccb

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) siku ya tarehe 03 Novemba, 2017 ilifanikiwa kumkamata Bwana Dunia Athumani Tema mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam kwa tuhuma za kujifanya Mtumishi wa TRA na kutoa huduma kwa mteja ndani ya Ofisi ya TRA Kariakoo – Gerezani Jijini Dar es Salaam. Mara baada ya …

Read More »

Mkutano mkuu wa 44 wa wanahisa wa TBL wafanyika Dar es salaam

TBL wanahisa 3

Mwenyekiti wa Bodi ya TBL,Mh.Cleopa Msuya (katikati) akiendesha mkutano mkuu wa 44 wa  mwaka  wa wanahisa. wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa AB-InBev Afrika Mashariki Bruno Zambrano, Mkurugenzi wa Tbl Group ambaye pia ni Rais wa kitengo cha Biashara Afrika Mashariki  AB-InBev,Roberto Jarrin, Mkurugenzi wa bodi ya …

Read More »

MHANDISI MTIGUMWE ATEMBELEA CHUO CHA KILIMO KILIMANJARO

1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akisisitiza jambo wakati akizungumza na Baadhi ya watumishi wa Chuo cha Kilimo Kilimanjaro (Kilimanjaro Agricultural Training Center (KATC) kilichopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akizungumza na Baadhi ya watumishi wa …

Read More »