Monday , February 18 2019

Home / 2017 / November / 13

Daily Archives: November 13, 2017

WACHIMBAJI WADOGO NYARUGUSU WAJITOLEA KUJENGA MADARASA

DSC_0351

Madarasa ya shule ya msingi ya  Tologo ambayo yamejengwa na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu. Evarist Pascal  ambaye ni mchimbaji mdogo akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilayaya Geita(ambaye yupo katikati)shughuli za ujenzi na ghalama ambazo zimetumika kujenga madarasa hayo.   Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akishukuru kwa …

Read More »

DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA) OFISI KWAKE MJINI DODOMA LEO KUHUSU MAENDELEO YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI

999

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Ujerumani katika kuendeleza Uhifadhi na Utalii nchini.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na …

Read More »

USAJILI TIMU ZA WANAWAKE WATANGAZWA

wimen

Wakati Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, ikitarajiwa kuanza Novemba 26, 2017 katika vituo viwili vya Dar es Salaam na Arusha, tayari usajili wa msimu kwa timu zote 12, umekamilika. Kwa mujibu wa kalenda ya mashindano, usajili ulipangwa ufanyike kati ya Oktoba 25 na Novemba 12, mwaka huu na kwamba …

Read More »

Serikali Yaionya Manispaa ya Kigoma Ujiji Ushiriki OGP

index

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, Dodoma Serikali imeitaka Manispaa ya Kigoma Ujiji kutekeleza uamuzi wa Serikali Kuu wa kujiondoa kwenye Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi(OGP) la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na …

Read More »

BENKI YA KILIMO YATUPIA JICHO MIRADI YA KILIMO ZANZIBAR

IMG-2014

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Zanzibar (ZSTC) ambao walikuwa wenyeji wa TADB, Bw. Ussi Mohamed Juma (aliyesimama) akizungumza na ugeni huo. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Makao Makuu ya ZSTC Kinazini, Zanzibar. Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB, Bibi Rosebud Kurwijila, Bibi Rehema Twalib, ambaye …

Read More »

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

PMO_7925

     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Mbunge wa Urambo Tabora, Magreth Sitta, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Joseph Ngonyani(Maji Marefu) nje ya Jengo la Utawala la …

Read More »

WAKULIMA WA MPUNGA KATIKA SIKUMU YA USSOKE MLIMANI WAPEWA SIKU SITA KUKAMILISHA MIFEREJI YA USAMBAZAJI MAJI MASHAMBANI MWAO.

index

NA TIGANYA VINCENT-RS –TABORA WAKULIMA wa Mpunga katika Mradi wa Umwagiliaji wa Ussoke Mlimani na Yelayela ambao hadi hivi sasa hawajakamilisha uchimbaji wa mifereji inasambaza maji kutoka mfereji mkuu kwenda kwenye mashamba yao wametakiwa kuhakikisha wamekamilisha zoezi ndani ya wiki hii. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni katika eneo la mradi …

Read More »

Mtwara Washeherekea Msimu Wa Tamasha La Tigo Fiesta

IMG-20171112-WA0008

Msanii Jux akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.   Janjaro akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.   Genevieve Mpangala akitumbuiza katika jukwaa la TIgo fiesta mapema usiku wa …

Read More »

MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

IMG_4008

Wafanyakazi wa Tigo walioshiriki katika mbio ndefu za  Tigo Dodoma Half Marathon wakiwa na bango linalosema ‘Tumekusoma’ kabla ya kuanza kwa mbio hizo ndefu jijini Dodoma leo. Tumekusoma ni  kampeni mpya ya Tigo inayolenga kuwapa wateja wake urahisi wa kutumia huduma za simu pamoja na faida zaidi za bonasi kila …

Read More »

WATUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA

4

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenye picha ya pamoja mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam  na aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya  Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi (katikati)  katika hafla fupi ya kumuaga baada ya kustaafu mapema mwezi …

Read More »

KAMPUNI YA TATU MZUKA IKISHIRIKIANA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA

J26A0702

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony Mavunde  mwishoni mwa wiki amekabidhi matofali 3000 na mifuko ya saruji 100 katika Kata ya Makutupora kwa ajili ya kuanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa Shule za Msingi Mpya za Mbande na Muungano Wilaya ya Dodoma mjini mkoani Dodoma. Msaada huo …

Read More »