Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 14

Daily Archives: November 14, 2017

MAKONDA APOKEA MADAKTARI BINGWA WA MACHO KUTOKA CHINA

IMG-20171114-WA0084

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam *Mhe Paul Makonda* akiwakarabisha Kundi la Madaktari Bingwa ambao ni Askari wa Kikosi cha Maji kutoka Jeshi la Jamhuri ya watu wa *China* nchini *Tanzania* ambao watakuja Tanzania na Meli kubwa ya Kikosi cha Wanamaji kutoka Jamhuri ya watu wa China wakiwa …

Read More »

Video-Waziri Prof Makame Mbarawa akijibu hoja kuhusu muswada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania ya Mwaka 2017

index

Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswaada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania ya Mwaka 2017 (The Tanzania Telecomunications Corporation Bill, 2017) mapema leo mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya hatua zinazochukuliwa na Serikali kuimrisha sekta ya Mawasiliano. Akizungumza wakati akijibu …

Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Dk. Akwilapo afungua mkutano wa wadau wa elimu

url

…………………………………………………………………………………. Na Joachim Mushi, Dodoma KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo amefungua mkutano wa 9 kwa wadau wa sekta ya elimu nchini ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT) ukiwa na lengo la kuangalia ubora na usawa wa elimu maeneo yote. Warsha hiyo ya …

Read More »

Tumieni Malighafi za Nchini Katika Viwanda Vyenu- Makamu wa Rais

14

Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali imezitaka nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki kutumia malighafi zinazopatikana katika nchi hizo kwa ajili ya viwanda badala ya kuagiza nje. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akifungua …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 14,2017

0713-Naibu Spika

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Ndugulile  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akitoa majibu ya miongozo  mbalimbali  ya wabunge  …

Read More »

TRA YAONGEZA UFANISI WA UKUSANYAJI KODI YA MAJENGO

IMG_0598

Dodoma, Novemba 14, 2017: Serikali imesema mapato yatokanayo na kodi ya majengo yanayokusanywa na Serikali yameongezeka baada ya jukumu hilo kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikilinganishwa na ilivyokuwa chini ya Halmashauri. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), …

Read More »

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HUAWEI TANZANIA

IMGL2529

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (katikati) pamoja na Msaidizi wake …

Read More »

Serikali Yaishukuru China

Pic 1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Bibi. Wang Ke (Kulia) katika ofisi za Wizara leo Mkoani  Dodoma. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) na Balozi wa Jamhuri ya …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHUO KIKUU CHA VIT NCHINI INDIA

DSC_3762

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  mgeni wake  Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India  Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA

0664-Jenista akiongea na Balozi

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.Viongozi hao walizungumza masuala mbalimbali ya Ushirikiano na Uwekezaji. Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu …

Read More »

SERIKALI NA MIKAKATI MIPYA WA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII NCHINI CHINA – DK. KIGWANGALLA

2

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke ofisini kwake mjini Dodoma jana Novemba, 14 ambapo walijadili mikakati ya kuongeza idadi watalii na wawekezaji katika sekta hiyo kutoka nchini China. Na Hamza Temba – WMU ……………………………………………………………………………………   Waziri wa Maliasili na …

Read More »

WAKULIMA WA KANDA YA ZIWA KUFIKIWA KUPITIA KONGANE

DSC03318

Meneja Uendeshaji wa Kiwanda cha Chobo, Bw. Charles Hotar (kulia) akitoa maelezo juu ya uchakataji wa nyama kwenye Kiwanda hicho kwa ugeni kutoka Benki ya Kilimo. Ugeni huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Bibi Rosebud Kurwijila (wapili kulia). Ugeni huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi …

Read More »