Tuesday , September 25 2018

Home / SIASA / MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 14,2017

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 14,2017

0553-naibu waziri ndungulile

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Ndugulile  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.

0713-Naibu Spika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akitoa majibu ya miongozo  mbalimbali  ya wabunge  wakati  wa Mkutano wa tisa wa kikao cha sita  cha  Bunge hilo leo Mkoani Dodoma.

0737-Waziri Mwakyembe

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe  akisoma kauli yake kuhusu fursa kwa wasichana kujipima uwezo katika riadha ili waweze kuiwakilisha nchi katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Jumuiya ya Madola,Olimpiki,All-African games na mengineyo leo Bungeni mjini Dodoma.

0769-Awesu na Shonza

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa  na Michezo Mhe,Juliana Shonza akiteta jambo na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.

0784-Jenista na Mwanjelwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa wakati wa Mkutano wa tisa kikao cha sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

About Alex

Check Also

5

Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mabati ya kisasa kwa ajili ya tawi la CCM Urusi Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

18 − 6 =