Thursday , November 23 2017

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO: RC RUVUMA ARIDHISHWA NA UJENZI W BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MBAMBA BAY

VIDEO: RC RUVUMA ARIDHISHWA NA UJENZI W BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MBAMBA BAY

Wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari MBAMBA BAY iliyoko wilayni NYASA mkoani RUVUMA wameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwajengea bweni litakalo kuwa na uwezo wa kukaa wanafunzi wakike 400 wa kidato cha tano na sita shukrani hizo zinakuja mara baada ya mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINE MNDEME kutembelea ujenzi wa gholofa hilo linalogharimu shilingi milioni 650.

About Alex

Check Also

DSC_0298

UFUNGAJI WA MAFUNZO YA UDHIBITI USAMBAAJI MAFUTA BAHARINI WAFANYIKA ZANZIBAR

Injinia Mratibu wa maswala ya Mazingira Baharini kutoka ZMA Halfani Hamad Hassan kulia akitoa maelezo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × four =