Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / November / 16

Daily Archives: November 16, 2017

WATAKIWA KUACHA KUCHOMA MOTO KARIBU NA MIUNDOMBINU YA UMEME

index

Na Mahmoud Ahmad Kondoa Wananchi wilayani Kondoa wamtakiwa kulinda miundombinu umeme na waache kuchoma moto karibu na miundo mbinu ya umeme wakati wakiandaa mashamba yao wakati huu wakijiandaa na msimu wa kilimo kuepuka uharibufu wa miundombinu hiyo Ambapo pia wametakiwa kuwa na uvumilivu wakati shirika la umeme nchini linaendelea na …

Read More »

TATU MZUKA YACHANGIA MILIONI 100 KUFANYA DODOMA KIJANI

2

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais  Muungano na Mazingira Mhe. Januari Makamba ( katikati) akizungumzia mikakati ya Serikali kuufanya mji wa Dodoma kuwa Kijani wakati akipokea hundi ya shilingi milioni mia moja kutoka Kampuni ya  The Net Work kupitia mchezo wa bahati nasibu wa Tatu Mzuka  ili kusaidia …

Read More »

LAYING WREATH CEREMONY ON 12TH NOV. 2017, TO COMMEMORATES THE FIRST WORLD WAR (1914-18) AT SOKOINE OLD POST OFFICE IN DAR ES SALAAM – THE EAST AFRICA SIGNALS MEMORIAL AND HISTORICAL CENTER

IMG_5927

right: 1em;”> Richard Painton an Ex- South Africa Corps Engineer blowing the bag pis as a official signs to open the ceremony.  One of the officials from British High Commision (L), makes a welcome remarks to officiate the ceremony. The acting Postmaster General, Deo Kwiyukwa (L), speaking during the ceremony. The Acting …

Read More »

BALOZI WA CHINA AAHIDI KUCHIMBA KISIMA DODOMA

NA 1

Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge ambapo aliahidi kutoa msaada wa kuchimba kisima kimoja cha maji Mkoani Dodoma. Picha ya pamoja kati ya Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge (wa pili kushoto) na Balozi wa China …

Read More »

Wananchi Watakiwa Kutumia Mvua Kwa Shughuli za Uzalishaji

8707-Mhe-ikupa

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA Serikali imewataka Viongozi na wananchi wote kutumia vizuri mvua zinazoendelea kunyesha nchini kwa ajili ya shughuli za uzalishaji mali. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu leo …

Read More »

KAMATI YA AFCON KUAINISHA MAENEO YATAKAYOFANYIKA MASHINDANO HAYO

1269-Mhe.Juliana Shonza

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa  kikao cha nane  cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. …………….. Na Lorietha Laurence-WHUSM,Dodoma. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo …

Read More »

Wakulima 206 Wapata Mafunzo Ya kilimo Cha Chai kutoka NOSC

FELA0534

Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji mkoa wa Njombe Bwana Lameck Noah(wapili kushoto)  akikabidhi cheti bwana Thiemo Msewa(kulia) katika hafla ya kufunga mafunzo kwa wakulima wa chai(farmer field school)  mkoani humo yaliyoratibiwa na Kampuni ya kuhudumia wakulima wadogo Njombe(NOSC).  Mafunzo hayo yalilenga kuwajengea uwezo wakulima katika kilimo cha chai na …

Read More »

Kwa mara ya kwanza upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) wafanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Picha no. 1

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya  Misaada (IIRO) ya nchini Saud Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab katika kambi …

Read More »

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017

1363-Spika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri …

Read More »

TAKUKURU MKOANI KILIMANJARO YAMSHIKILIA DAKTARI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA,MAWENZI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

xUntitled-737x375.png.pagespeed.ic_.pSK4GzDj8j

Na. Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU)mkoani Kilimanjaro,imemtia mbaroni Daktari wa Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi akituhumiwa kudai na kupokea rushwa ya shilingi 150,000.   Daktari huyo,Deogratias Godfrey Urio,alikamatwa jana katika mji mdogo wa Himo kwenye …

Read More »

TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU KUHUSU WIKI YA KUZUIA USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI TAREHE 13- 19 NOVEMBA, 2017

IMG-20160129-WA0139

Wiki hii Dunia inaadhimisha wiki ya kupambana na Tatizo la Usugu wa Vimelea kwa Dawa za Antibiotiki (Antibiotics Resistance Awareness Week). Kauli mbiu ya mwaka huu wa wiki ya uhamasishaji kuhusu antibiotiki duniani unasema:  “Fuata ushauri wa wataalam wa afya kabla ya kutumia antimicrobials” Dawa za Antibiotiki ni dawa ambazo …

Read More »