Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 17

Daily Archives: November 17, 2017

Kuondolewa VAT Kwenye Vifaa Vya Ujenzi Kutapunguza Mapato ya Serikali

1421-Kijaji

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA Serikali imesema kuondolewa kwa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya ujenzi kwa lengo la kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba za makazi kutawanufaisha wafanyabiashara wachache kuliko wananchi wa kawaida na kupunguza  mapato ya Serikali. Hayo yamesemwa Bungeni leo Mjini Dodoma na Naibu Waziri …

Read More »

SERIKALI YATOA MAFUNZO KWA VIJANA ZAIDI YA 11,000

PMO_8594

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweza kutoa mafunzo kwa vijana 11,492 katika fani mbalimbali kupitia vyuo vya umma, binafsi na makampuniikiwa ni utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Miaka Mitano ya Kukuza Ujuzi. Amesema programu hiyo ambayo ilianza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2016/17, inalenga kuweka maeneo mahususi ya kuwezesha vijana …

Read More »

Mhe. Malima atembelea Kiwanja cha ndege cha Musoma

musoma 1

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Bi. Betha Bankwa akitoa maelezo mbalimbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (wa pili kulia) leo Ijumaa alipofanya ziara kwenye kiwanja hicho. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (aliyenyoosha mkono), akielekeza jambo kwa Meneja wa Kiwanja …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA LEO BUNGENI DODOMA

1847-Spika

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa …

Read More »

SERIKALI YAKARABATI VYUO 10 KWA SH. BILIONI 12

PMO_8594

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 11.9 kufanya ukarabati wa miundombinu ya kufundishia na kujifunzia pamoja na mabweni katika vyuo 10 vya ualimu nchini. Amevitaja vyuo hivyo kuwa ni Morogoro, Mpwapwa, Butimba, Kasulu, Songea, Tukuyu, Marangu, Kleruu, Korogwe na Tabora. “Ukarabati huu umewezesha wanachuo 5,920 waliokuwa wanasoma …

Read More »

MAJALIWA:MWENENDO WA UKUAJI UCHUMI WA TAIFA UNARIDHISHA

PMO_8594

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwenendo wa ukuaji wa uchumi wa Taifa unaridhisha, ambapo katika robo ya kwanza ya mwaka 2017 ulikua kwa asilimia 5.7. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Novemba 17, 2017) wakati akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tisa wa Bunge, mjini Dodoma. “Mwenendo wa uchumi wetu ni …

Read More »

KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

DSC_2373

Madawati mia mbili ambayo yametolewa na kampuni ya Blue coast Investment iliyopo Mkoani Geita kwa lengo la kusaidia mahitaji ya elimu.     Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akimshukuru mkurugenzi wa kampuni ya Blue coast Investment ,Bw Athanas Inyasi  ambaye yupo katika kwa kujitolea yeye na …

Read More »

JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA

DSC01442

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Khamis Juma akizungumza na wahatimu na wageni waalikwa katika mahafali ya 17 ya chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto ambapo wahitimu 292 walitunukiwa Stashahada na Astashahada za Sheria. Baadhi ya Wahitimu wa  Stashahada ya Sheria wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto katika …

Read More »

DODOMA, SINGIDA KUTUMIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI IFIKAPO 2019

TFC10

Kiongozi wa msafara wa wawakilishi wa kampuni ya Henan Juren Crane Group kutoka Jimbo la Henan nchini China, Wang Yuheng (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC), Bw. Henry Mwatwinza Mwimbe (kulia). Tukio hili lilifanyika jana, …

Read More »

STARTIMES WALETA KIFURUSHI KIPYA KATIKA UZINDUZI WA JTV

unnamed

Katika hafla ya uzinduzi wa Jason’s TV, kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yao ya StarTimes walitumia fursa hiyo pia kutangaza kifurushi kipya cha UHURU kwa wateja wake wa antenna. Kwa wateja wapya na wateja wa siku zote kifurushi hiki kinakuwa kama zawadi kwao kwa kuchagua kutumia king’amuzi …

Read More »

MAJALIWA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE

PMO_8594

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha kikao cha Tisa cha Bunge, bungeni Mini Dodoma Novemba 17, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha kikao cha bunge, bungeni mjini Dodoma November 17, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Read More »

Ecobank Face To Face With Members Of Parliament In Dodoma

New Picture

Ecobank Tanzania’s Managing Director, Ms. Mwanahiba Mzee (far right) and the bank’s Head of Commercial Banking, Mr. Respige Kimati (left) in a souvenir photo with the Prime Minister, Honorable Majaliwa Kassim Majaliwa when they paid a courtesy call at his office in Dodoma Ecobank Tanzania’s Managing Director, Ms. Mwanahiba Mzee …

Read More »

UFAFANUZI KUHUSU SHERIA MPYA YA TTCL KWA VYOMBO VYA HABARI

16

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyotolewa kwenye magazeti ya Mwananchi na Uhuru ya tarehe 15/11/2017. Gazeti la Mwananchi liliandika, “Serikali ‘yaiua’ rasmi TTCL na gazeti la Uhuru liliandika,“TTCL ‘bye’ ‘bye’. Vichwa hivi vya habari vimewachanganya …

Read More »

TAA Kuhakikisha Inapata Hati Miliki Za Viwanja Vya Ndege

DG+STAFF1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (aliyesimama mbele), akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo katika mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Transit uliopo kwenye jengo la kwanza la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBI). Wafanyakazi wa Mamlaka …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAASWA KUWEZESHA MIRADI YA MAENDELEO SIMIYU

DSC03458

Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa TADB, Bw. Augustino Matutu Chacha (aliyesimama) akizungumza wakati walipofanya ziara ya kujionea miradi ya kilimo mkoani Simiyu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Kilimo, Bibi Rosebud Kurwijila (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (hayupo pichani) kuhusu nafasi ya TADB katika …

Read More »

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

1

Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda  kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi. Viongozi wa timu ya Majimaji  wakiwa katika picha …

Read More »