Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 18

Daily Archives: November 18, 2017

Hafla fupi ya kumaliza kambi ya siku nne ya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab iliyofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Picha no. 1

Mufti Sheikh Abubakari Zubeir bin Ally akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa hafla fupi ya kumaliza kambi ya siku nne ya  upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa …

Read More »

NZUNDA: MARUFUKU KUINGIA MAKUBALIANO NA NGO BILA KUPITA TAMISEMI.

pic+magufuli+make+changes

NA TIGANYA VINCENT- RS-TABORA SERIKALI imepiga marufuku Halmashauri zote nchini kuingia makubaliano na Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali(NGO’S) bila kupitia na kiuhidhinishwa na Ofisi ya Rais , Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa( TAMISEMI ) kwa kuwa baadhi ya mambo yamekuwa hayaendebi na vipaumbule vya Serikali ambayo nakusudia kuwasaidia kuwasaidia …

Read More »

WAZIRI MKUU AONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT

PMO_7858

Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Katibu Mkuu. Wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Marehemu, Alhaji Yahya Msulwa .aliye simama kushoto kwake ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa  pamoja na Mke wake  leo Novemba,18. 2017. Nyumbani kwa marehemu Toangoma Jijini Dar …

Read More »

WAGONJWA 33 WAFANYIWA UPASUAJI MOYO WA BILA KUFUNGUA KIFUA (CATHETERIZATION) KWA KUTUMIA MSHIPA WA DAMU WA MKONO KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU

Picha no. 3

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya  Misaada (IIRO) ya nchini Saudi  Arabia wamefanya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa …

Read More »

ZAIDI YA MIL.369.6 KUKOPESHWA VIJANA NA WANAWAKE BAGAMOYO

IMG_20171102_131127

AFISA maendeleo ya jamii wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani Julius Mwanganda ,alipokuwa akizungumzia utekelezaji wa mfuko wa vijana na wanawake kipindi cha miaka miwili Pichani ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, Fatuma Latu . Picha na Mwamvua Mwinyi …………. Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo HALMASHAURI ya wilaya …

Read More »