Monday , February 18 2019

Home / 2017 / November / 19

Daily Archives: November 19, 2017

MBUNGE IBRAHIM RAZA MGENI RASMI SHEREHE YA MAHAFALI YA KWANZA YAKITATO CHA NNE SKULI YA SEKONDARI KIEMBESAMAKI “A” ISLAMIC

06

Mwanafunzi Suleiman Hafidh alieigiza kama Daktari akiongoza wenzake kwenye onesho la kufanya upasuaji wakati wa Mahafali ya kwanza ya kidato cha nne Skuli ya Sekondari Kiembe Samaki “A” Islamic, yaliyofanyika skulini habo Mazizini Mjini Unguja. Mwanafunzi Mathna Tahir akisoma risala ya wanafunzi katika Mahafali ya kwanza yakidato cha nne ya …

Read More »

TP MAZEMBE YAKARIBIA KUTWAA UBINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

IMG_20171119_210052-640x449

Fainali ya kwanza ya mchezo wa shirikisho Africa imepigwa hii leo mjini Lubumbashi ambapo wenyeji Tp Mazembe wakiwa nyumbani waliikaribisha klabu ya Super Sport kutoka nchini Afrika Kusini. Katika mchezo huo Tp Mazembe waliibuka kidede kwa ushindi wa bao mbili kwa moja ushindi ambao hauwapi uhakika kushinda kombe hilo baada …

Read More »

UFAFANUZI KUHUSU UINGIZWAJI WA MIFUGO NCHINI TANZANIA

index

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa katika baadhi ya vyombo vya habari na kutoka kwa baadhi ya wanasiasa kuishutumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia hatua ya kukamata na kupiga mnada mifugo iliyoingizwa nchini bila kufuata sheria. Aidha, taarifa hizo zinajenga sintofahamu kuhusiana na suala la vifaranga vya kuku …

Read More »

Chama cha Zanu-PF kimemfuta Mugabe kama Kiongozi wake

MUGABE-660x371

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF kimefuta Robert Mugabe kama kiongozi wake. Kimemteua aliyekuwa makamu wa rais Emmerson Mnangagwa ambaye alifutwa wiki mbili zilizopita kama kiongozi wake. Kufutwa kwa Bw. Mnangawa kumezua mambo mengi huku jeshi likitwaa madaraka na kumzuia Mugabe 93, kumteua mke wake Grace kama makamu wa rais. Waandamanaji …

Read More »

Wadau watakiwa kujitokeza kufadhili Tamasha la Watoto Chrismass

url

…………………………………………………….. WAANDAAJI wa Tamasha la watoto litakalofahamika kwa jina la ‘Baby Boxing Day 2017’ wamewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini katika tamasha hilo ili kuweza kufanikisha hiyo ambayo imepangwa kufanyika Desemba mwaka huu (2017) Kibaha Mkoani Pwani. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jana Mkurugenzi wa Linda Media Solution (LIMSO) …

Read More »

Wahitimu Ndanda kuanzisha kampuni ya kukopesha fedha

nda

Na Mwandishi Wetu WAHITIMU wa Shule kongwe ya Sekondari Ndanda iliyopo Masasi mkoani Mtwara, kupitia umoja wao (UWAHISSENDA) wanakusudia kuanzisha kampuni itakayotoa mikopo midogomidogo kwa lengo la kujiimarisha kiuchumi. Hatua hiyo imekuja miaka miwili baada ya wahitimu hao kuanzisha kundi la mtandao wa kijamii la Whatsaap lenye zaidi ya wanaumoja …

Read More »

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ANGALIZO KWA VYAMA VYA SIASA JUU YA MWENENDO WA KAMPENI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA WADIWANI WA 26 NOVEMBA 2017

pic+jaji+mutungi

Sina shaka na mwitikio wa ushiriki wa vyama vya siasa katika kampeni  za Uchaguzi mdogo wa madiwani unaendelea nchini katika kata 43 zilizoanza Oktoba 26 na zinazotarajiwa  kuhitimishwa Novemba  25 mwaka huu, hata hivyo, zimebainika kasoro ndogo ndogo ambazo si ishara nzuri kuelekea uchaguzi wa amani. Siyo jambo lenye tija …

Read More »

SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KUADHIMISHWA KESHO

PICHA 1

Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni kuhusu maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika kesho tarehe 20 Novemba, 2017 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. …

Read More »

CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017

url

Umoja wa Mataifa kupitia Umoja wa Vijana (YUNA) umetoa tuzo kwa Taasisi na watu binafsi wenye mchango mkubwa katika maisha ya watu barani Afrika. Kupitia tuzo hizo zinazotambulika kama PAHA, kituo cha Televisheni cha Clouds kimetambuliwa kama kituo bora cha Runinga kwa mwaka 2017. Hiyo ni kutokana na kurusha maudhui …

Read More »

KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA AWASILI MARA TAYARI KWA UZINDUZI WA ZOEZI LA USAJILI; AKIWA AMEAMBATANA NA KAMISHNA GENERALI WA IDARA YA UHAMIAJI NCHINI

DSC04879

Kamishna Generali wa Idara ya Uhamiaji nchini Dkt. Anna Peter Makakala, akizungumza jambo wakati alipowasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama Mhe. Annarose Nyamubi  (Aliyeketi Katikati). Kaimu Mkurugenzi Mkuu (NIDA) Ndg. Andrew W. Massawe akiweka saini kitabu cha wageni alipotembelea Kambi ya JKT Butiama kukagua mafunzo kwa vijana watakaoshiriki …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO MHANDISI NDITIYE ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI

NDITIYE

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akisalimiana na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwangombe, wakati alipofanya ziara kwenye shirika hilo, na kuongea na wafanyakazi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi …

Read More »

WATUMISHI WA AFYA BADO WANAHITAJIKA NCHINI.

IMG-20171118-WA0060

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akifanya majaribio ya kuchunguza wadudu  kwa kutumia hadumini iliyopo kwenye moja ya maabara ya chuo cha Afya na tiba cha KAM wa mahafali ya pili ya chuo chuo hiko yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa …

Read More »

Watendaji wa Serikali Watakiwa Kuzingatia Mwongozo wa Bajeti

index

Na Fatma Salum – MAELEZO Serikali imewaagiza watendaji wakuu na viongozi wote Serikalini kuzingatia kikamilifu mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya mwaka 2018/2019 ili uweze kuleta tija na kuendeleza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano. Agizo hilo limetolewa jana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akitoa …

Read More »