Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 20

Daily Archives: November 20, 2017

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA MBEYA

2

Wananchi wa Kata ya Mwakidete mtaa wa Mwakidete mkoani Mbeya  wakiendelea na Usajili Vitambulisho vya Taifa. Mmoja wa wananchi wa Mtaa wa Mwakidete akiweka saini kwenye mashine maalumu ya uchukuliaji alama za kibaiolojia, picha na  saini ya kielektroniki. Wanaoonekana kwenye picha ni  Baadhi ya Maafisa Usajili wa NIDA wakiendelea na …

Read More »

UJENZI MAGOMENI KOTA KUKAMILIKA MACHI MWAKANI

2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias Kwandikwa (katikati), akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Msanifu Majengo Elius Mwakalinga (kulia) wakati akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam. Mtendaji …

Read More »

MAVUNDE: WATU WAKIKOSA MAADILI TAIFA LINAKUFA

IMG_20171118_013410

Mchg. Pascal Mande wa Kanisa la TAG Msasani akihubiri wakati wa tamasha la Mkesha (Campus Night 2017) wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka mkoa wa Dodoma lilifanyika kwenye ukumbi wa Chimwaga, UDOM, mwishoni mwa wiki. (Picha na Irene Bwire) Mwanamuziki wa nyimbo za injili, Angel Benard na …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kuwa Balozi hapa nchini. Picha na Jeshi la Polisi. Balozi wa  China nchini …

Read More »

MOI YAOKOA BILIONI 5 KWA KUPUNGUZA RUFAA ZA NJE YA NCHI.

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia , Wazee na Watoto Dkt Mpoki Ulisubisya akizungumza na menejimenti ya MOI (hawapo pichani)  katika ukumbi wa Mikutano  wa MOI. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akimjulia hali mgonjwa aliyefanyiwa …

Read More »

Wizara Yaombwa Kutoa Tuzo kwa Wanahabari Wanaotetea Watoto.

FUNZ

Mwanafunzi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Steven Mkomwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akizindua makala yake ya ‘habari na mtoto’ kuelekea katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto Duniani yanayofanyika Novemba 20 ya kila …

Read More »

Waziri Kairuki, Benki ya Dunia Wajadili Rasilimali Madini

Pic 4

Na Rhoda James, DSM Waziri wa Madini Angellah Kairuki mwishoni mwa wiki alikutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufahamiana na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika utekelezaji wa Miradi ya Madini inayotekelezwa kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) unaofadhiliwa na …

Read More »

WAZIRI KALEMANI AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI, INDIA NCHINI

PICHA NA 3

Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Inmi Patterson akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo jijini Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alielezea mafanikio ya sekta ya nishati nchini kwa Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Inmi Patterson (hayupo pichani) Balozi …

Read More »

TBL ilivyoshirikiana na wadau wake katika biashara kuadhimisha Wiki ya Ujasiriamali Duniani

entre 2

Mmoja wa Maofisa Waandamizi kutoka TBL Akichangia mada -Baadhi ya washiriki wakisikiliza mijadala -Baadhi ya washiriki wakisikiliza mijadala -Baadhi ya washiriki wakisikiliza mijadala Baadhi ya washiriki wakichangia mada ………………………………………………………………………….. Kampuni ya TBL Group chini ya kampuni mama ya ABINBEV imeadhimisha wiki ya ujasiriamali duniani (Global Entrepreneurship Week) kwa kuwakutanisha wajasiriamali  …

Read More »

CHALAMILA AMNADI BARAKA KIMATA KWA WANANCHI WA KATA YA KITWIRU

IRINGA

Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Albert Chalamila akiwa jukwaani na mgombea udiwani kupitia chama hicho Baraka Kimata katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa  Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Albert Chalamila akiwa jukwaani na mgombea udiwani kupitia chama hicho  Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza mgombea udiwani wa …

Read More »

Jukwaa Lamshauri JPM Kuunda Tume ya Kuchunguza Sekta ya Maliasili

MGHA

Ndg. Japhari Mghamba Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Mwanga akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete. ………………………………………………………………………………………………………. Jonas Kamaleki-MAELEZO Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania (JUHWATA) limemshauri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuunda Tume ya kuchunguza sekta ya maliasili ikiwemo …

Read More »

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho.

NJE

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 14 Novemba 2017, katika Ikulu ya nchi hiyo. Mhe. Balozi Chana  akizungumza na Mhe. Rais Faure ambapo Serikali ya …

Read More »

Mahakama Kenya yatupilia mbali kesi zilizopinga ushindi wa Kenyatta

malaga

Jaji Mkuu David Maraga …………………………………………………………………………………… SOURCE :http://www.bbc.com/swahili/habari-42050012 Mahakama ya Juu Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizokuwa zimewasilishwa kupinga uchaguzi wa marudio, imeidhinishwa ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Kenyatta sasa anatarajiwa kuapishwa Jumanne wiki ijayo. Jaji Mkuu David Maraga amesema majaji kwa kauli moja wameamua kwamba kesi zote mbili hazina …

Read More »

TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

index

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha taarifa inayosambaa katika Mitandao ya Kijamii kuhusu Taasisi ya Kiraia ijulikanayo kama Samia Habari Suluhu. Taasisi hiyo inajitambulisha  kuwa inatoa mikopo ya fedha taslim, pikipiki na bajaji kwa wanawake wajasiriamali kwa masharti ya kuweka dhamana ya fedha taslimu …

Read More »

ESRF YATAFUTA SULUHU YA UTENGENEZAJI MIJI

url

MANUFAA ya uchumi unaokua kwa kasi kuelekea uchumi wa kati wa viwanda hayataonekana kama taifa litakuwa na changamoto katika utengenezaji wa miji yake na hivyo kuvuna tija ya miji iliyopangwa vyema. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Wizara ya Fedha na Mipango, Maduka Paul Kessy wakati …

Read More »

KUMBUKUMBU BARKHE M. UBAYA LEO UMETIMIZA MIAKA MINNE

index

KUMBUKUMBU BARKHE M. UBAYA LEO UMETIMIZA MIAKA MINNE TANGU ULIPOTUTOKA DUNIANI DAIMA TUTAKUKUMBUKA UNAKUMBUKWA NA MUMEO BW M UBAYA WANAO SALAMA NA RAHMA MAMA YAKO DADA YAKO KAKA ZAKO FAMILIA YA MAGOHA NA UBAYA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI TUNAMUOMBA M MUNGU AKUSAMEHE MAKOSA YAKO AMIN INNA LILLAH WAINNA LILLAH RAJIUN

Read More »