Thursday , December 13 2018

Home / 2017 / November / 21

Daily Archives: November 21, 2017

Menejimenti Ya TAA Yakutana Na Wajumbe Wa TUGHE

TUGHE1

Kaimu Mwanasheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Joachim Maambo akijitambulisha kwenye mkutano wa Menejimenti na Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wa kuihusha mkataba wa zamani. Katibu …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TUME YA TAIFA YA TEHAMA NA TCRA

IMG_4034

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela (katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Clarence Ichwekeleza, alipowasili ofisini hapo katika ziara yake ya kutembelea tume hiyo jijini Dar …

Read More »

NGONGAMANO LA WASOMI WANATAALUMA KUFANYIKA JUMAMOSI HOTELI YA LANDMARK UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

LAND

 Mratibu wa Kongamamo la Wasomi Wanataaluma wa Kikristo liitwalo Tanzania for Jesus Prayer Movement ambalo mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus,  Ephrahim Mwambapa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Kanisa la Abundant Bressing Center (ABC), Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam, kuhusu kongamano hilo litakalofanyika Hoteli …

Read More »

NCC Yatakiwa Kuzingatia Ubora wa Miundombinu Nchini

2

Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Matiko Mturi (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), Elias  Kwandikwa mara baada ya kuripoti ofisini hapo leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kuongea na wafanyakazi wa Baraza hilo. Mtendaji Mkuu …

Read More »

Rais Robert Mugabe amejiuzulu

index

SOURCE BBC Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Spika wa bunge Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka kulingana na chombo cha habari cha reuters. Tangazo …

Read More »

JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAUNGUA MOTO

_98841548_screenshot2017-11-21at12.42.11.png

Muonekano wa Jengo la Clouds Media Group. Mojawapo ya wafanyakazi wa Clouds Media Group akijaribu kuokoa baadhi ya vifaa Magari ya Zimamoto yaliyofika kupambana na moto huo. ………….. SEHEMU  ya jengo la kituo cha Clouds Media Group lililoko Mikocheni jijini Dar es Salaam limeungua moto leo ambapo Mkurugenzi wa Vipindi …

Read More »

AWESO AWATAKA WAKANDARASI KUWA WAZALENDO

AWESO (1)

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza na wananchi wa kijiji cha Bubutelo wilayani Chemba. Mbunge wa Chemba Juma Nkamia akizungumza na wananchi wa Bubutelo katika ziara ya Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimia viongozi wa kijiji …

Read More »

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wapigwa Msasa Jinsi Ya kumpima Mgonjwa Umeme wa Moyo (ECG)

Picha no.1

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna  ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram – ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International …

Read More »

NUKUU YA MAMBO 19 YALIYOZUNGUMZWA KWENYE KIKAO CHA NEC IKULU LEO

index

Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam. Mbali na Katambi makada wengine wa CHADEMA …

Read More »

Jamii yatakiwa kuweka mikakati ya kuhakikisha kila mama anajifungulia katika vituo vya afya.

4

Profesa Innocent Ngalinda Mtaalam Mshauri wa takwimu akitoa mada katika warsha ya kupunguza vifo vya akina mama vinavyotokana na uzazi iliyoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe White Ribbon Alliance for Safe Motherhood Tanzania (WRATZ)ambapo mambo mbalimbali yanajadiliwa na wadau kutoka taasisi mbalimbali hapa nchini ili kutatua changamoto zinazokabili huduma ya …

Read More »