Friday , March 22 2019

Home / 2017 / November / 22

Daily Archives: November 22, 2017

AZAM FC YANASA SAINI YA STRAIKA HATARI TOKA NCHINI GHANA

IMG-20171122-WA0013

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kuwajulisha kuwa imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Bernard Arthur, akitokea Liberty Professional ya Ghana. Arthur amesaini mkataba wa miaka miwili kujiaunga na matajiri hao kutoka viunga vya Azam Complex, na zoezi zima limefanikishwa na Mtendaji Mkuu wa Azam …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO MHANDISI ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TTCL, AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM, DODOMA

IMG_4170

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akisaini kitabu cha wageni alipofika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wakati wa ziara yake ya kutembelea taasisi mbalimbali zilizoko katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa …

Read More »

MAFUNZO YA UDHIBITI USAMBAAJI MAFUTA BAHARINI YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_0281

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji mafuta wakati yanapomwagika Baharini wakisikiliza maelezo kutoka kwa kiongozi kutoka ZMA kabla ya kuanza kwa zoezi la vitendo la kudhibiti mafuta katika bandari ya Malindi mjini Unguja.Mafunzo hayo yanaendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal …

Read More »

TBP BANK,MULTICHOICE KUWAPATIA WATANZANIA DSTV KWA MKOPO

url

            BENKI ya TPB imeingia kwenye makubaliano rasmi na kampuni ya Multichoice Tanzania inayotoa huduma za DStv ambapo wafanyakazi umma, wateja na hata wale wasio wateja sasa wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv kwa mkopo na kisha kulipia kidogo kidogo. Hafla hiyo ya kusaini makubaliano imefanyika …

Read More »

DK.KALEMANI -NGUZO ZA UMEME ZA ZEGE ZITUMIKE ILI KUIMARISHA MIRADI YA UMEME

IMG-20171122-WA0036

Waziri wa Nishati Dk .Merdard Kalemani ,akizungumza na baadhi ya wananchi,viongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza nguzo za umeme za zege cha East Africa Infrastructure Engineering  Ltd kilichopo Fukayosi wilayani Bagamoyo,mkoani Bagamoyo,wakati alipotembelea kiwanda hicho kujionea uzalishaji wa nguzo hizo. Picha na Mwamvua Mwinyi ………….. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani   KIWANDA cha …

Read More »

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO NA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUFANIKISHA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

DSC_0036-2

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (Kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidi wa Uchaguzi Katika Manispaa ya Moshi 20.11.2017. Kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mtibora Selemani. …………… Na Clarence Nanyaro – NEC Mwenyekeiti wa Tume ya Taifa …

Read More »

UFUNGUZI WA KITUO CHA KISASA CHA KUTOA HUDUMA ZA KIFUA KIKUU,UKIMWI NA MAGONJWA YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI

unnamed

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika kwenye hospitali ya Magonjwa ya kuambukiza Kibong’oto Mkoani Kilimanjaro,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Anna Mghirwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna mghirwa akiongea  wakati wa ufunguzi wa kiyuo hicho ambacho kitakuwa kikihudumia …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA AAGIZA KUUNDWA KWA CHOMBO CHA KUDHIBITI UBORA WA MAZAO YA MISITU NCHINI

_DSC1600

  Na Hamza Temba – WMU …………………………………………………. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kubuni utaratibu mpya ikiwemo kuanzishwa kwa chombo kitakachosimamia upangaji wa madaraja ya ubora wa mbao zinazozalishwa hapa nchini ziweze kukidhi viwango vya mahitaji ya …

Read More »

WAZIRI JENISTA ATEMBELEA VITUO VYA HALI YA HEWA ARUMERU

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha …

Read More »