Friday , January 18 2019

Home / 2017 / November / 23

Daily Archives: November 23, 2017

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO UTAKAPOJENGWA MJI MPYA WA SERIKALI MJINI DODOMA

6

Baadhi ya Makatibu wakuu kutoka Wizara mbalimbali wakifuatilia mada iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw.Nehemia Mchechu(hayupo pichani)  kuhusu ujenzi wa Mji mpya wa Serikali unaotarajiwa kujengwa mjini Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mha.John Kijazi akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Mji mpya wa Serikali unaotarajiwa kujengwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA ATEMBELEA OFISI ZA TANROADS JIJINI DAR ES SALAAM

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias Kwandikwa, akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale, wakati alipowasili ofisini kwake, jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale, akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …

Read More »

Dkt.Ndugulile Afungua Kambi Ya Upasuaji Mabusha

unnamed

 Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile afungua kambi ya upasuaji wa Mabusha na Ngirikokoto(Hernia)Mkoani Lindi  Dkt.Faustine Ndugulile akihutubia wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa upasuaji wa mabusha na ngirikokoto kwa wagonjwa wapatao 200 wa Manispaa ya Lindi Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akipokea hundi yenye thamani ya shilingi …

Read More »

Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar

1

 Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na …

Read More »

KOZI YA GRASSROOTS YAPELEKWA MBEYA

TFF

Kozi ya Grassroots kwa Vijana kuanzia miaka 6-12, itafanyika mkoani Mbeya kuanzia Novemba 27, 2017 mpaka Desemba 1, mwaka huu. Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema kozi hiyo itahusisha walimu wa Shule za Msingi za mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na wenyeji …

Read More »

WANANCHI KATA ZA LUDETE, KAKUBILO WAMKOSHA RC GEITA UJENZI WA ZAHANATI NA MADARASA ACHANGIA TOFALI 2000,MIFUKO 420 YA SARUJI

PIC NA.4

Mheshimiwa Herman Kapufi Mkuu wa Wilaya ya Geita akitoa maelekezo kwa viongozi wa Halmashauri ya Geita na kata ya kakubilo wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel katika Halmashauri hiyo kuhamasisha ujenzi wa Zahanati na vyumba vya madarasa. Mhandisi Robert Gabriel akishirikiana na mafundi kupandisha …

Read More »

WASANII 20 WAPUNGUZWA FIESTA DAR

ruge-1

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, amesema wamepunguza wasanii 20 ambao awali walipangwa kuwepo kwenye Tamasha la Tigo Fiesta linalotarajiwa kufanyika Jumamosi katika vya Viwanja Leaders Club. Ruge ameyasema hayo leo katika kipindi cha Clouds360, ambapo amesema: ‘’Tulikaa kama kamati jana na tumeamua kuachana na …

Read More »

CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

PMO_8202

Waziri Mkuu. Kassim Maliwa,(kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu  Aridhi Tanzania. David Cleopa Msuya .wakati wa uzinduzi wa Sherehe ya miaka Kumi ya Chuo Kikuu cha Ardhi ambayo yameanza leo Novemba 23/2017 Jijini Dar es salaam.katikati ni Rais wa Jumuia ya wahitimu Chuo Kikuu cha …

Read More »

SENEGAL VINARA AFRIKA KATIKA ORODHA MPYA YA VIWANGO VYA FIFA

_98876329_b8b4e44a-3084-49ae-858c-8370fa7c993b

Senegal imepanda hadi nafasi ya 23 kutoka 32 katika orodha ya shirikisho la soka duniani Fifa mwezi Novemba. Pia wamepanda juu ya Tunisia na Misri na kuwa taifa linaloorodheshwa katika nafasi ya kwanza Afrika. Hatua hiyo inajiri baada ya Simba hao wa Teranga kushinda mechi mbili dhidi ya Afrika Kusini …

Read More »

MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA YADHIBITIWE-WAZIRI JAFO

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selamani Jafo akifungua kongamano ya Chama cha Wahasibu Tanzania linalofanyika Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Wahasibu Tanzania Fred Msemwa akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa Kongamano linalohusu uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa Mamlaka …

Read More »

KAGERA WAJIPANGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BENKI YA KILIMO

DSC03601

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Kilimo ulipomtembelea Ofisini kwake Mkoani Kagera. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo, Bibi Rosebud Kurwijila na Katibu Tawala, Mkoa wa Kagera, Diwani Athumani (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi …

Read More »

NAIAMINI TIMU YANGU ITAPATA USHINDI DHIDI YA MTIBWA-CIOABA

271A0399

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa anakiamini kikosi chake kitakusanya pointi zote tatu kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake utafanyika Uwanja …

Read More »

DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI WA VIWANDA

mahenge

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Binilith Mahenge  ……………. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amezitaka Halmashauri za Wilaya, Mji na Manispaa Mkoani Dodoma kuhakikisha zinatenga asilimia kumi (10%) ya makusanyo yao ya ndani kwa ajili ya vijana, wanawake na Walemavu kuanzisha miradi ya viwanda vidogo na vya kati. …

Read More »

WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA MICHUANO YA SHIMUTA IRINGA

DSC_0255

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwa pamoja na mkuu wa mkoa wa Iringa bi Amina Masenza jukwaa kuu akiwahutubia wanamichezo waliojitokeza kushiriki michuano ya SHIMUTA      Baadhi ya wanamichezo walikuwa wakifurahia jambo baada ya waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kuzindua rasmi mashindano hayo     …

Read More »

MECHI YA SIMBA NA LIPULI YARUDISHWA UWANJA WA UHURU

Niyonzima_Jabir

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Lipuli iliyopangwa kuchezwa Jumapili, Novemba 26, 2017 kwenye Uwanja wa Azam Complex sasa itafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru.   Awali mechi hiyo ilihamishiwa Azam Complex baada ya wamiliki wa Uwanja wa Uhuru kueleza kuwa utakuwa na matumizi mengine Novemba 26, …

Read More »

TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA

DSC_0545

  Ndugu waandishi wa habari: Nimeshikwa na mshtuko, simanzi baada ya kusambaa kwa  taarifa ambazo naweza kusema kuwa ni za uzushi kwamba  ninampango wa kujiondoa ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. naomba taarifa hizo zipuuzwe manahazina ukweli wowote na kwamba zinampango wa kunichafua mimi pamoja na Chama Changu. Ndugu wandishi …

Read More »

WILAYA YA KISHAPU NA SHIRIKA LA MISAADA YA KIJAMII IMEKABIDHI HATI 43 ZA KIMILA ZA ARDHI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA NEGEZI KATA YA UKENYENGE

2

Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kengese akizungumza na wananchi wakati wa zoezi la kukabidhi hati za kimila katika kijiji cha Negezi kata ya Ukenyenge. Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kengese akikabidhi moja ya hati za kimila kwa mwananchi katika kijiji cha Negezi. Meneja wa na Shirika la Misaada …

Read More »