Monday , October 22 2018

Home / MCHANGANYIKO / MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

PIX 1..

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akikagua gwaride la heshima wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

PIX 2..

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali   Projest Rwegasira (Mstaafu) na Meja Jenerali Simon Mumwi (Mstaafu) (kulia aliyesimama kwenye gari), wakisukumwa kwenye gari inayotembea mwendo wa   taratibu kuashiria kumalizika kwa utumishi wao katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa hafla ya kuwaaga, iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

PIX 3...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira   (Mstaafu) akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  , Jenerali Venance Mabeyo, baada ya kumaliza utumishi katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa jeshi hilo, iliyofanyika leo katika Kambi ya  Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

PIX 4

Gwaride la Heshima likipita mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu),   wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

PIX 5.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali  Projest Rwegasira (Mstaafu)  na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dk. Florens Turuka(kulia), wakizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.

PIX 6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akizungumza na   Meja Jenerali James Mwakibolwa wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu),aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Jenerali Venance Mabeyo,  

PIX 7..

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akiagana na  Meja Jenerali, James Mwakibolwa baada ya  hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali   Projest Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

About Alex

Check Also

MKUU WA WILAYA YA BABATI

MAHAFALI YA 41 SHULE YA SEKONDARI SINGE HAIJAWAHI KUTOKEA

Na John Walter-Babati Mkuu wa wilaya ya Babati  Elizabeth Kitundu,  amewataka wahitimu wa kidato cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × 2 =