Wednesday , April 25 2018

Home / BURUDANI / Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar

Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar

 Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii.

 

Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume

 

 Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike

 

 Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo

 

Mdau akipata picha na msanii Vanessa

 

Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo leo mchana

 

Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo

 

Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee

 

About Alex

Check Also

CD Awamu Ya Tano Uwanjani

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

six + fifteen =