Thursday , March 21 2019

Home / 2017 / November / 24

Daily Archives: November 24, 2017

WAHITIMU IFM WAASWA KUJIEPUSHA NA RUSHWA NA UFISADI

IMG_5751

Meza Kuu wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto) wakiimba Wimbo wa Taifa wakati wa Mahafali ya 43 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha- IFM, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam ambapo wanafunzi 2692 wamehitimu kozi mbalimbali …

Read More »

Wanachama wa Shirikisho la waganga wa Tiba Asili Tanzania (SHIVYATIATA)wawajia juu viongozi wao

waju

Hassan Rajabu mmoja mwanachama wa shirikisho la vyama vya waganga wa tiba asili Tanzani. ……………………………………………………………………… Na David John BAADHI  ya wanachama wa Shirikisho la waganga wa Tiba Asili Tanzania (SHIVYATIATA) wamewajia juu viongozi wa Shirikisho huku wakihoji uhalali wao wa kuendelea kufanya kazi. Wamesema kuwa viongozi hao muda wao wa …

Read More »

MAVUNDE AWANEEMESHA WAJASIRIAMALI DODOMA

mv (5)

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo madiwani katika hafla ya kukabidhi mashine mbalimbali kwa vikundi vya wajasiriamali. Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akikabidhi mashine kwa wajasiriamali. Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza na wananchi wa Dodoma wakati …

Read More »

Waziri wa Afya Aupongeza Mfuko wa Abbott

003

Mkurugenzi wa Miradi Endelevu wa Mfuko wa Abbott, Dkt. Festo Kayandabila akieleza jinsi mfuko wa Abbott ulivyoshiriki kuwapatia watoto  wanaoishi katika mazingira magumu kadi za bima ya afya. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Profesa Lawrence Museru, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy …

Read More »

JAMII IMETAKIWA KUTOVUNJA MAWASILIANO NA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU VISIWANI ZANZIBAR

2017-11-24 14.45.54

Ofisa Hifadhi ya Mtoto kutoka Idara ya Wazee na Ustawi wa Jamii Mkasi Abdullah Rajab, akitoa mada ya malezi mbadala kwa mtoto  katika Kituo cha Kulelea Watoto SOS Mombasa Zanzibar. Picha na Kijakazi Abdalla-Maelezo ………….. Na Kijakazi Abdalla,        Maelezo  JAMII imetakiwa kutovunja mawasiliano na watoto wanaolelewa katika vituo vya watoto …

Read More »

Upasuaji wa Kihistoria Kupandikiza Figo Wafanyika Muhimbili

0001

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu upasuaji wa kihistoria wa kupandikiza figo ambao umefanyika Novemba 21, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ikiwa ni mara ya kwanza upasuaji huo kufanyika nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa …

Read More »

ZIARA YA WANAMKIKITA NCHINI THAILAND

01

 Wajumbe kutoka Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Living Green) wakiwa na furaha baada ya kulakiwa na wenyeji wao walipowasili hivi karibuni  katika Jiji la Bangkok, Thailand tayari kwa ziara ya utalii wa kilimo cha kisasa na ufugaji pamoja na fursa la biashara.  Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange (kushoto) na  …

Read More »

TUTAMALIZA KERO YA MAJI TUNDURU-MAJALIWA

PMO_8410

Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa  akihutubia Mkutano wa hadhara katika Uwanja wa michezo wa Rwinga uliopo Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuvuma jana Novemba 23/2017. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ampa mwezi mmoja  afisa Aridhi wa Wawilaya ya Namtumbo Bwana  Maurus  Year kuhakikisha ametatua …

Read More »

SHIRIKIANENI MSISHINDANE PROF. KABUDI AWAASA WANASHERIA

IMG_0899

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza katika ufunguzi wa kikao kati yake na wakuu wa Idara na vitengo vya Sheria katika Wizara, Idara, Halmashauri na taasisi uliofanyika mjini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akizungumza wakati wa  kikao kati ya Waziri …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AFANYA MKUTANO NA WAHARIRI ILI KUONGEZA UELEWA WA MIFUMO MIPYA KUHUSU UAGIZAJI WA MBOLEA KWA PAMOJA

11

 Mgeni Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwenye Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam, Leo Novemba 24, 2017. Mgeni Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wahariri wa …

Read More »

DC MSHAMA-SERIKALI INACHUNGUZA KIFO CHA MTOTO ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA NA SILAHA INAYODAIWA NI GOBORE HUKO LUKENGE

IMG_20171123_112908

MKUU wa wilaya ya Kibaha,Assumpter Mshama akizungumza kwenye mkutano maalumu wa kijijini cha Lukenge,kata ya Magindu,wilayani hapo. Picha na Mwamvua Mwinyi …………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha  SERIKALI inaendelea kuchunguza tukio la mtoto ambae anadaiwa kuuwawa kwa kupigwa na gobore na baba yake mdogo Ally Sakalawe (43) wakati akijibizana na makachero wa …

Read More »

CCM ZANZIBAR YAWATAKA WATUMISHI WAKE KUBUNI MIKAKATI ENDELEVU YA KIMAENDELEO NDANI YA CHAMA KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,KIJAMII NA KISIASA

DSC_1019

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na washiriki wa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo Watumishi wa  Afisi Kuu CCM Zanzibar Kisiwandui Unguja. Baadhi ya Watumishi wa CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo. ………… Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka watumishi …

Read More »

Waziri Mwakyembe:Jitokezeni kusaidia kukuza Sekta ya Michezo

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na waendeshaji wa michezo ya  kubahatishisha nchini (hawapo pichani)kuhusu kusaidia kuendeleza sekta ya michezo leo jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Waendesha Michezo ya Kubahatisha nchini Bw.Dhiresh Kaba na Kulia Mkurugenzi Msaidizi Miundombinu …

Read More »

MH. EMMERSON MNANGAGWA AAPISHWA RASMI LEO KUSHIKA MADARAKA KAMA RAIS WA ZIMBABWE

mnangagwa1

Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana kwenye uwanja wa michezo wa Harare nchini Zimbabwe. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa na mkewe  Auxillia wakiwasili uwanjani kabla ya kuapishwa leo mchana. ……………………………………………………………………. Rais mpya wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo mchana huu na hivyo kuhitimisha …

Read More »

KIUNGO MKABAJI WA KIMATAIFA AONGEZA MWAKA MMOJA AZAM FC

vlcsnap-2017-11-23-16h11m56s85

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umefikia makubaliano ya kumwongeza mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji raia wa Cameroon, Stephan Kingue. Kiungo huyo aliyejiunga na Azam FC Novemba mwaka jana anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa ukabaji pamoja na kupiga pasi zinazofika. Akithibitisha nyongeza hiyo …

Read More »

BOSI WA FUFA ATEMBELEA AZAM COMPLEX ‘AIMWAGIA SIFA AZAM FC’

271A1451_0

  KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imepokea ugeni kutoka Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) waliokuja kutembelea mandhari ya viunga vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa Fufa waliofika Azam Complex ni Mtendaji Mkuu Msaidizi wa shirikisho hilo, Humphrey Mandu, ambaye pia …

Read More »