Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / November / 25

Daily Archives: November 25, 2017

YANGA YALAZIMISHWA SARE NA PRISONS UWANJA WA CHAMAZI

IMG-20171125-WA0015-640x427

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara klabu ya Yanga imeshindwa kutamba mbele ya Tanzania Prisons kutoka jiji la Mbeya baada ya kutoka sare ya kufungana 1-1 katika uwanja wa Azam Complex,Chamzi nje kidogo na Dar es salaam Prisons walitangulia kwa  bao la Eliuter Mpepo dakika ya tisa …

Read More »

UAMUZI WA KAMATI KUHUSU USAJILI LIGI YA WANAWAKE

tff

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyokutana Novemba 22, 2017, katika ofisi za TFF Karume, pamoja na mambo mengine ilijadili shauri la mapingamizi mbalimbali yaliyowekwa na timu za Ligi ya Wanawake. Timu ya Mburahati Queens iliweka pingamizi kwa mchezaji Ever Kombo …

Read More »

RAIS WA TFF,KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA GAMA

Wallace-Karia

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia  amepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama. Kutokana na msiba huo, Rais Karia ametua salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Kadhalika Rais Karia ametuma salamu za …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE KUZINDUA LIGI YA WANAWAKE ARUSHA

294d804edc83faf81ef283833f49e665

Ligi ya wanawake inatarajia kuanza Jumapili Novemba 26, 2017 kwenye vituo viwili vya Dar Es Salaam na Arusha ambapo kundi A litakuwa Dar es Salaam likitumia Uwanja wa Karume wakati kundi B litakuwa Arusha likitumia Uwanja wa General Tyre. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe …

Read More »

WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WANAWAKE WATAKIWA KUJENGA UTHUBUTU WA KUTENDA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

1.

Mmoja wa wawezeshaji wa mkutano wa jukwaa la Wajasiriamali na Wafanyabiashara Wanawake ulioandaliwa na Taasisi ya Dominion Leadership Connect akizungumza na wajumbe wa jukwaa lililofanyika Novemba 23, 2017 Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuwajengea uwezo Wafanyabiashara na Wajasiriamali Wanawake kukabiliana na changamoto mbali katika fursa za kiuchumi. Baadhi …

Read More »

WAZIRI MKUU AUNGANA NA WANASONGEA KUOMBOLEZA KIFO CHA GAMA

PMO_8678

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,Nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Songea .Leonidas Gama. Waziri Mkuu aliungana na wanafamilia pamoja na wananchi wa Songea katika kijiji cha Lukuyi Wilayani Songea leo Novemba 25/2017 katika kuomboleza msiba Waziri Mkuu Kassim. Majaliwa leo Noemba 25/2017 ameungana na wanafamilia, wananchi …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KAMPASI YA MLOGANZILA

m29

Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Leornad Akwilapo, na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakielekea sehemu inakofanyika sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya …

Read More »

Wanawake watakiwa kushiriki katika michezo.

PIX 4

Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akifyatua bastola juu leo Jijini Dar es Salaam kuashiria Ufunguzi wa Mashindano ya Riadha kwa Wanawake kuelekea Olimpiki ya mwaka 2020 yatakayofanyika Tokyo nchini Japan. Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza akizungumza leo Jijini Dar es Salaam …

Read More »

Ziara ya Makatibu wakuu wa Viwanda na Mambo ya nje nchini China.

km1

Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel. …………………………………………………………………. Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel pamoja na Katibu mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof Adolf Mkenda wakutana na wawekezaji kutoka makampuni mbalimbali kwenye Mkutano wa …

Read More »

TUPAMBANE KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA: WAZIRI KAIRUKI.

pix 7

Baadhi ya wananchi na wadau wa maendeleo wakiwa katika maandamano maalum ya ufunguzi wa Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika katika viwanja vya Leader’s Club Kinondoni Dar es Salaam Novemba 25, 2017. Waziri wa Nishati Mhe. Angellah Kairuki akinyajua bango juu lenye ujumbe unaosema “Ukatili wa Kijinsia Unachelewesha …

Read More »

Wizara ya Habari yatangaza kampeni ya kitaifa ya uzalendo na utaifa

Pix 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa kikao cha maandalizi ya usiku wa kitendawili unaolenga kuhimaza uzalendo kwa watanzania leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Maendeleo ya sanaa Bibi. Leah Kihimbi akifafanua jambo wakati wa kikao cha maandalizi ya usiku wa kitendawili unaolenga …

Read More »

CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

dande

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija, akisaini kitabu cha wageni alipowasili Chuo Kikuu Mzumbe mkoani Morogoro Novemba 24, 2017. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka (katikati), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija (kushoto) …

Read More »

Wahandisi watakiwa kuwa waadilifu, wawajibikaji

index

MWANDISHI WETU WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka wahandisi na watu wote ambao wanasimamia sekta hiyo kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na uaminifu katika kazi zao ili kuchochea Tanzania ya uchumi wa kati. Mbarawa aliyasema hayo jana wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo ya Heshima ya Rais wa …

Read More »

DC SHINYANGA AIBUKIA KWENYE SHAMBA DARASA LA PAMBA KUANZA RASMI MSIMU WA KILIMO CHA PAMBA

MAT

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameshiriki katika kilimo cha pamba katika shamba darasa lililoanzishwa katika kijiji cha Solwa kata ya Solwa katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. …………………………………………………….. Shamba darasa hilo litatumika kama darasa la kilimo cha pamba kwa njia za kitaalamu kwa wakulima wa pamba katika wilaya …

Read More »