Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / November / 25 (page 2)

Daily Archives: November 25, 2017

MAJALIWA: TANESCO KAWAHUDUMIENI WANANCHI VIJIJINI

index

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liwafuate wananchi walioko katika vijiji vinavyotarajiwa kuunganishiwa umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kuwahudumia. Amesema Serikali imetenga shilingi trilioni moja kwa ajili ya kusambaza umeme katika vijiji vyote ambavyo bado havijaunganishiwa nishati hiyo nchini, hivyo ni vema wakawatembelea wananchi katika …

Read More »

RC TABORA -MANENO YA VIJIWENI VIJANA HAYATAWASAIDI KUWALETEA MAENDELEO NENDENI MASHAMBANI.

AGREY

Na Tiganya Vincent- RS-Tabora Vijana Mkoani Tabora wametakiwa kuacha tabia ya kukaa vijiweni na kusikiliza maneno ambayo hayawasaidia kuwafundisha namna ya kupata maendeleo badala yake waatumie muda kujiari katika uzalishaji wa pamba na mazao mengine yatakawasaidia kujipata kipato na kuinua maisha yao. Kauli hiyo imetolewa jana katika maeneo mbalimbali ya …

Read More »

TGNP Mtandao yakutanisha wenyeviti halmashauri na mameya

url

TGNP Mtandao leo imefanya warsha na baadhi ya wenyeviti wa halmashauri pamoja na mameya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja changamoto anuai zinazoukumba mchakato wa bajati tangu ngazi za mitaa na vijiji. Warsha hiyo ya siku mbili inayofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za TGNP Mtandao Mabibo jijini Dar es Salaam …

Read More »