Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / November / 26

Daily Archives: November 26, 2017

NIMEKUJA KUIPA UBINGWA AZAM FC-BERNARD ARTHUR

271A2263_0

MSHAMBULIAJI mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Bernard Arthur, tayari amewasili nchini leo Jumapili alfajiri akitokea Ghana. Mara baada tu ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere (JNIA), Arthur ameweka wazi kuwa amekuja kuisaidia timu hiyo kumaliza kwenye nafasi nzuri …

Read More »

LIGI KUU YA WANAWAKE YAANZA, WAZIRI MWAKYEMBE MGENI RASMI

Waziri Mwakyembe

Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Twiga Stars, Edna Lema akiteta na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye Uwanja wa General Tyre, katika  mchezo wa ufunguzi Alliance Queens wameshinda 2-1 dhidi ya Panama FC. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe alikuwa mgeni …

Read More »

TIMU YA AFISI KUU CCM Z’BAR MABIGWA KOMBE LA MAJIMBO

01

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (kushoto) akimkabidhi Gari ndogo aina ya Carry nahodha wa timu ya Afisi kuu CCM Zanzibar Vuai Makame Jecha mara baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya Majimbo Zanzibar baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3 – 1 …

Read More »

CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI-MWEKA KUANZA KUTOA MAFUNZO MAALUM KWA WATOA HUDUMA ZA UTALII NCHINI KUANZIA KESHO

_DSC0014

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya silaha yanavyotolewa chuoni hapo katika mahafali ya 53 ya chuo hicho yaliyofanyika jana katika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Zaidi ya asilimia …

Read More »

ARSENAL NDANI YA BIG FOUR ‘YAIDUNGUA BURNLEY EPL’

46B61FF000000578-5118633-image-a-154_1511711985863

Arsenal ambayo msimu huu ilionekana kama si lolote si chochote, inazidi kukwea vidato kimya kimya kwenye msimamo wa Premier League ambapo sasa ipo nafasi ya nne. Klabu hiyo ya London imeichapa Burnley 1-0 kwenye mchezo uliochezwa katika dimba la Turf Moor na sasa imebakiza pointi moja tu kuifikia Chelsea inayoshika …

Read More »

SIMBA YABANWA MBAVU NA LIPULI FC UWANJA WA UHURU

IMG-20171126-WA0036

Timu ya Simba imeshindwa kutamba mbele ya Lipuli FC baada ya kuzalimishwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa uhuru Jijini Dar es salaam mchezo wa mzunguko wa 11 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara. Simba walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 15 kupitia kwa mkongwe,Mwinyi Kazimoto alifunga bao …

Read More »

PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL

Picha no. 1

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka  Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) ya nchini Israel Katharina Schmitt akiangali jinsi moyo wa mtoto unavyofanya kazi (Echocardiogram) kwenye  kambi ya matibabu na upimaji  wa moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya …

Read More »

Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa jijini Dar Es Salaam

unnamed

Msanii Ommy Dimpozi akiwa kwenye jukwa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana Msanii Maua Sama Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia …

Read More »

VIONGOZI SERIKALINI MUIGENI MAKONDA- JPM

nex

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, leo amemwagia sifa kedekede RC Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul MAKONDA. Mh. JPM alizimwaga sifa hizo leo asubuhi alipokuwa akiwashukuru na kuwaaga madaktari wa meli ya China, ambao wametibu wagonjwa zaidi ya 5000 …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

ca3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza …

Read More »

YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI KUTOKA KONGO

Festo

  Klabu ya Yanga, imetangaza kumsainisha beki wa kati, Mkongo Fiston ‘Festo’ Kayembe Kanku ambaye alikuwa kwenye majaribio katika timu hiyo kwa muda mrefu. Usajili huo wa mkataba wa miaka miwili umefikiwa kutokana na safu ya ulinzi kuonekana kutokuwa imara. Kutua kwa Mkongo huyo kunamaanisha kuwa Mtogo, Vincent Bossou ambaye …

Read More »

Wananchi kuhudumiwa BURE Bugando Jijini Mwanza

index

Na George Binagi Wananchi jijini Mwanza wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye “Kongamano la Watoa Tiba kwa Vitendo”, litakalofanyika kwenye viwanja vya Hospitali ya Kanda Bugando jijini Mwanza  kuanzia jumatano Novemba 29 hadi ijumaa Disemba Mosi mwaka huu, ili kupata huduma ya ushauri kuhusiana na matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa. Hata hivyo …

Read More »

MESSI ASAINI MKATABA MPYA BARCA ‘APEWA MKWANJA WA DUNIA’

46AE012200000578-0-image-a-63_1511608641698

  Mashambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi amesaini mkataba mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2021 ambapo mkataba huyo mpya una maboresho mengi mazuri kwake. Messi amesaini mkataba huo ambapo mshahara wake utakuwa ni pauni 500,000 (Sh bilioni 1.5) kwa wiki pamoja na dau la pauni milioni 80 ambalo amekabidhiwa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKABIDHI CARRY KWA TIMU YA AFISI KUU ZANZIBAR

1

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi zawadi ya gari aina ya carry kwa timu ya mpira wa miguu ya Afisi Kuu Zanzibar baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya mpira wa miguu ya Majimbo.  Mashindano hayo yaliyohusisha majimbo 18 ya kisiwani Unguja yaliandaliwa na Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambayo yalizinduliwa Machi …

Read More »

WAFANYAKAZI TTB WAMUAGA BW. KOPWE

kopwe

Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania wamemuaga Meneja Malisimali Watu wa TTB Bw. Mussa Hassan Kopwe aliyestaafu rasmi kazi baada ya kuitumikia Bodi hiyo kwa muda mrefu wa utumishi serikalini kwa kufikisha umri wa miaka 60 ambayo mtumishi wa Serikali anapaswa kusataafu kazi kwa mujibu wa sharia. Akizungumza katika tafrija …

Read More »

Ibrahim Class awapa Watanzania kile walichotarajia.

PIX 6

Bondia  Mtanzania Ibrahim Class (kushoto) akipambana na na Mwenzie kutoka Afrika Kusini  Koos Sibiya katika pambano la kimataifa la ngumi lenye mizunguko  kumi na mbil lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam ambalo mtanzania huyo alishinda. Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa …

Read More »

CCM YAHITIMISHA KAMPENI ZAKE KATA YA CHIPOGORO KWA KISHINDO

IMG_0163

Wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa katika mkutano wa kufunga kampeni Za Uchaguzi mdogo wa kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za CCM kwenye mkutano wa kampeni Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene akizungumza katika mkutano wa kufunga kampeni kata ya Chipogoro Wananchi wakisikiliza sera za …

Read More »