Friday , March 22 2019

Home / 2017 / November / 27

Daily Archives: November 27, 2017

Klabu za Maadili kuanzia Shule za msingi – Waziri Jafo

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na washikriki wakati wa  uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa   katika ukumbi wa mikutano Hazina Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa …

Read More »

FA YAMSAMEHE LUKAKU ‘SASA KUZIVAA ARSENA NA MAN CITY’

46B502B200000578-5119211-Lukaku_repeated_the_motion_twice_in_quick_succession_while_the_r-a-4_1511773851668

  Straika wa Manchester United, Romelu Lukaku hatatumikia adhabu kwa kumchezea vibaya beki wa Brighton and Hove Albion Gaetan Bong Jumamosi. Chama cha Soka cha England (FA) kimeamua kutochukua hatua zaidi dhidi ya mshambuliaji huyo kwa kushiriki kwenye tukio hilo dhidi ya Bong. Sekunde chache kabla ya Lewis Dunk kujifunga …

Read More »

SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA

IMGL4939

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Christina Mndeme (kulia) baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Ruvuma tayari kuelekea katika mazishi ya aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama yanayofanyika leo katika Mtaa wa Likuyufusi …

Read More »

WADAU WA NGUVU WATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA UONGOZI WA BIASHARA CHUO KIKUU CHA ESAMI ARUSHA

1

Afisa Habari katika Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) ,Florian Mutabazi akipokea Cheti chake kutoka kwa Waziri wa Elimu wa Malawi,Bright Msaka baada ya kuhitimu Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara(MBA) Chuo Kikuu cha  Eastern and Southern African Management Institute(ESAMI) kilichopo jijini Arusha katika  mahafali yaliyofanyika chuoni hapo,wahitimu wametoka …

Read More »

IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

JH9A0071

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akimsikiliza kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia), alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari  31 ya Jeshi hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John Pombe Magufuli, …

Read More »

MUGABE APEWA SIKUKUU YA TAIFA ZIMBABWE

_98952480_f6c09fd6-41bb-4e5a-9579-7aaea3e210aa

Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita. Gazeti la serikali la Herald limesema sikukuu hiyo itakuwa ikiadhimishwa siku ya kuzaliwa kwa Bw Mugabe kila mwaka. Uamuzi wa kusherehekea Siku ya Taifa ya Vijana ya Robert Gabriel Mugabe kila 21 …

Read More »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU

20171127_113850

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina katika picha akiongea na wataalam wanahabari na viongozi wa Wizara hiyo kutoka katika sekta ya Uvuvi, baada ya kuonyeshwa zana zilizokamatwa katika oparesheni maalum ya kupambana na uvuvi haramu, katika kanda ya Dar es Salaam. Katika picha baadhi ya zana zinazotumika katika …

Read More »

WAAMUZI 18 TANZANIA WATAPA BEJI FIFA 2017/18

tff

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu Tanzania (FIFA), limetoa beji kwa Waamuzi 18 katika msimu wa mshindano mwaka 2018. Kwa mujibu wa taarifa kutoka FIFA, Waamuzi walioteuliwa kwa upande wa wanaume ni Mfaume Ali, Elly Sasii, Emmanuel Mwandembwa na mkongwe Israel Nkongo na kwa upande wa wanawake wamo Jonesia …

Read More »

NENO LA DK. MWAKYEMBE LIGI YA WANAWAKE, AFANYA ZIARA ARUSHA

C7lMmgLVUAA2uLA

Hafla ya uzinduzi wa Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake imezinduliwa jana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha. Timu zilizokata utepe zilikuwa ni Alliance Queens ya Mwanza iliyoshinda mabao 2-1 dhidi ya Panama FC ya Iringa. Katika uzinduzi …

Read More »

WATUMISHI WA CCM WASISITIZWA KUISOMA KATIBA YA CCM 1977

DSC_0977

Mkufunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Afisi Kuu CCM Zanzibar,  Salum Khatib Reja akitoa ufafanuzi wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977. ……….. Na Is-haka Omar, Zanzibar. WATUMISHI na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar  wameshauriwa  kuzisoma, kuzielewa na kuzifanyia kazi kwa vitendo Katiba ya CCM ya mwaka …

Read More »

WANAWAKE TANGA WAVUTIWA NA AMANA BANKI

IMG_20171120_150735

Wanawake wanaojishughulisha na shughuli za ujasiliamali Mkoani Tanga wamesema wamevutiwa na programu ya ukopeshaji  wa vitendea kazi badala ya fedha taslimu unaoendeshwa na benki ya Amana na kudai unaweza kusaidia kuendesha miradi endelevu. Walitoa maelezo hayo  wakati wa kongamano la jukwaa la wanawake wa Mkoa wa Tanga lililofanyika jijini hapa …

Read More »

WANASAYANSI WABAINI ZIWA VICTORIA LIPO HATARINI KUKAUKA

mwanza-ziwaaa

Wanasayansi wanasema kwamba ziwa kubwa zaidi lenye maji tulivu barani Afrika Victoria linalounganisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda, lipo katika hatari kubwa ya kukauka. Wanasema kwamba uvuvi haramu na uliopitiliza pamoja na uvamizi wa mazingira kuzunguka maeneo ya ziwa ni sababu kubwa. Maji machafu pia yanayotiririshwa kuelekea kwenye ziwa …

Read More »

MREMBO WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS UNIVERSE 2017

miss-afrika-kusiniii

Mrembo, Nel-Peters. NEL-PETERS (22) mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza nchini Afrika Kusini amevishwa taji la Mrembo wa Dunia (Miss Universe 2017) akiwashinda Miss Colombia, Laura Gonzales (mshindi wa pili) na Miss Jamaica, Davina Bennett (mshindi wa tatu) katika mchuano uliofanyika jana Jumapili jijini Las Vegas, Marekani. Mrembo huyo ametunukiwa taji …

Read More »

HATIMILIKI ZA ARDHI KUTOLEWA NDANI YA WIKI MOJA

LK0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha hati mbele ya Waandishi wa Habari alipokuwa akikagua maendeleo ya Mradi wa Mfumo Unganishi wa Taarifa za Ardhi(ILMIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Bw. Shaban Pazi. Mradi huo utakapo kamilika unaondoa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKABIDHI KOMBE KWA TIMU YA AFISI KUU ZANZIBAR

PMO_8812

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi kombe  kwa nahodha wa timu ya Afisi Kuu Zanzibar.Bwana  Vuai Jecha baada ya timu yake kuibuka mshindi kwakuifunga timu ya Kwahani mabao 3 kwa 1. katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Aman Zanziba. Novemba 25/2017 Waziri Mkuu .Kassim Majaliwa mwenye nguo nyeupe akiwa katika …

Read More »