Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / November / 28

Daily Archives: November 28, 2017

UWT NGAZI ZA MIKOA Z’BAR WAFANYA UCHAGUZI LEO

IMG_0086

Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akifungua mkutano mkuu wa UWT Mkoa wa kaskazini Unguja. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa wa Kaskazini Unguja Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Asha Suleiman Idd akipiga kura katika Mkutano Mkuu …

Read More »

TUTAWASHUGHULIKIA WOTE WANAOTUMIA VIBAYA FEDHA ZA UKIMWI-MAJALIWA

PMO_8927

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Novemba 28, 2017)  amefungua kongamano la Kitaifa la maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Juliasi Nyerere jijini Dar es Salaam. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU ………………   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia …

Read More »

MKURUGENZI MKUU MSD AFANYA ZIARA HOSPITALI JIJINI DAR ES SALAAM

1

 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akizungumza na viongozi mbalimbali wa Hospitali ya Sinza alipofanya  ziara ya kikazi katika Hospitali hiyo na  Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo, ili kubaini changamoto zilizopo za  upatikanaji wa dawa na vifaa tiba na kuzipatia ufumbuzi wa pamoja. Kutoka kulia …

Read More »

MAWAZIRI WA UGANDA WAFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA

MOJA

 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Mawaziri kutoka Uganda. Katikati ni Waziri wa Nchi- Madini, Lokeris Peter na Waziri wa Nchi- Mambo ya Ndani, Obiga Kania.   Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Mawaziri kutoka Uganda (hawapo …

Read More »

ZAHANATI SITA ZASHINDWA KUTOA HUDUMA MOROGORO

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Bi. Kibena Nassoro.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na Diwani wa Kata ya Ngerengere, Bi. Kibena Nassoro akizungumza.   ZAHANATI sita zilizokamilika zote zikiwa Wilayani Morogoro Vijijini zimeshindwa kuanza kutoa huduma za afya na kubaki mithili ya magofu baada ya kukosekana kwa watumishi watakaofanya kazi katika zahanati hizo. Zahanati hizo ambazo …

Read More »

MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU

PIX 1

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria, katika kijiji cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, Mkoani Mara.Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliambatana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala ikiwa na lengo la udhibiti …

Read More »

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya Upasuaji Wa Moyo kwa Watoto Na Watu Wazima katika kambi Ya Matibabu Inayoendelea

Picha no. 2

Afisa Muuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia  Lisa Heywood akibadilishana mawazo na Emma Thomas  na Faustina Mwapinga ambao wote ni Maafisa Uuguzi  wakati wa kambi ya upasuaji wa moyo ya siku tano inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Katika kambi hiyo wagonjwa 23 …

Read More »

Tigo Yatangaza Dili ya Kipekee ya Simu za Smartphone

MMG_7239

Mkuu wa Bidhaa na Huduma wa Tigo, David Umoh akizungumza na waandishi wa habari   (hawapo pichani) mapema leo kuhusu ofa mpya ya ‘Simu Janja kwa Mpango’ kutoka Tigo katika msimu huu wa sikukuku. Wateja wa Tigo wana fursa  ya kupata simu za smartphone bure kwa njia rahisi kupitia menu mpya ya *147*00# …

Read More »

Kituo cha Umeme Kigamboni Chakamilika

Picha Na 1

Mzimamizi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Kigamboni kilichopo jijini Dar es Salaam, Sylvester Sikare (kulia) akielezea maendeleo ya ukamilishaji wa kituo kwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (katikati) mara alipofanya ziara katika kituo hicho tarehe 27 Novemba, 2017 Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilaya …

Read More »

JINSI YA KUAJIRI MTENDAJI MKUU NDANI YA SIKU 5

unnamed

Katika soko la ajira Tanzania, vipaji hutokea na kutoweka kila mara. Hivyo unaweza kuta kampuni yako inakosa kipaji muhimu katika muda ambao unakihitaji. Unakuta unataka kuajiri haraka lakini hutaki kupata mtu asiyefaa. Je Utafanyaje? Utafanya nini ili kuajiri mtu anayefaa na kwa haraka. Punguza Hatua za Usaili Kampuni nyingi huulizia …

Read More »

MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA

unnamed

MKOA wa Mwanza umefanya Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji ambao umeandaliwa na Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF). Mwongozo huo ni sehemu ya ripoti tatu zilizotokana na agizo la mkoa wa Mwanza la kutaka kuwekewa pamoja taarifa sahihi zinazogusa uwekezaji mkoani humo ili kurahisisha na kuwavutia wawekezaji wa …

Read More »

ANAYETAJWA KUWA MMILIKI WA SHULE YA SEKONDARI YA SCOLASTICA YA MKOANI KILIMANJARO APANDISHWA KIZIMBANI NA KUSOMEWA SHTAKA LA MAUAJI

IMG_2103

Mahakamani ya Hakimu mkazi ,Moshi. Anayetajwa kuwa mmilikiwa wa shule ya sekondari ya Scolastica,Edward Shayo akifikishwa katika mahakamani ya Hakimu mkazi ,Moshi. Anayetajwa kuwa mmiliki wa shule ya Sekondari ya Scolastica,Edward Shayo akijiandaa kuingia chumba cha mahakama Jana. Anayetajwa kuwa mmiliki wa shule ya Sekondari ya Scolastica iliyopo mji ndogo …

Read More »

MWENYEKITI WA SHIVYATIATA,BW.LUTENGA AMESEMA CHINI YA UONGOZI WAKE ATAHAKIKISHA HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAYEINGIA KWENYE SHIRIKISHO HILO

IMG_20171127_004609

Mwenyekiti wa shirikisho la waganga wa tiba asili Tanzania Abdallahaman Lutenga akifafanua jambo kuhusu tuhuma mbalinbali ambazo zinatolewa na baadhi ya wanachama wa shirikisho hilo. Picha na David John ……………… Na  David John MWENYEKITI wa Shirikisho la Waganga wa Tina Asili Tanzania (SHIVYATIATA) Abdallahaman Lutenga Amesema chini ya uongozi wake …

Read More »

RC Shigella Awataka Wananchi kuacha kuhifadhi Fedha Majumbani

Uzinduzi tawi la NMB Mkata.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martine Shigella (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (wa pili kushoto), pamoja na viongozi mbalimbali wakizinduwa tawi jipya la Benki ya NMB Kata ya Mkata Wilayani Handeni.  Mkuu wa Mkoa wa Tanga –Martin Shighela (kwanza kulia) akijadili jambo …

Read More »