Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / November / 29

Daily Archives: November 29, 2017

ZIMBABWE YAJITOA CHALENJI KWA KUHOFIA USALAMA NCHINI KENYA

zimbabwe-national-football-team

SHIRIKISHO la kabumbu nchini Zimbabwe (ZIFA) limetangaza kujiondoa kwa timu ya taifa ya nchi hiyo kwenye michuano ya kombe la Chalenji inayotarajiwa kufanyika nchini Kenya hivi karibuni. Taarifa ya ZIFA imesema sababu kubwa ya kujiondoa huko ni kutotengamaa kwa hali ya kiusalama nchini Kenya kufuatia mgogoro wa kiasiasa unaoendelea. “Kujiondoa …

Read More »

MAMBO 10 UNAYOTAKIWA KUYAFAHAMU KUHUSU UKIMWI

003

Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya UKIMWI kila ifikapo Desemba mosi ya kila mwaka, bado Virusi Vya UKIMWI (VVU) na ugonjwa huo unabaki kuwa ni changamoto muhimu ya kiafya ndani ya jamii hususani kwenye nchi zenye kipato cha chini na kati.   Kutokana na maendeleo yaliyofikiwa sasa katika upatikanaji wa …

Read More »

WEMA SEPETU-IPO SIKU NITAKUFA,HAKUNA ANAYEISHI MILELE

wema2

  STAA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu,  kupitia akaunti yake ya Instagram leo ametupia ujumbe mzito juu maisha yake ya sasa na kipindi atakachokuwa hayupo duniani. Mrembo huyo amesema kuwa kipindi atakachokuwa amefariki watu watakuwa wanamuongeleaje na kasema muda mwingine anaomba Mungu amchukue akijua kuwa anamkosea. Pia alimalizia kwa kusema …

Read More »

MAJALIWA AWASILI SINGIDA

PMO_8938

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenuyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Martha Mlata baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho Mheshimiwa Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria chaTanzania yatakayofanyika mjini Singida. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kuila) wakimsikiliza …

Read More »

UVCCM MIKOA YA ZANZIBAR LEO WAFANYA UCHAGUZI

IMG_0955

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, uliofanyika katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini iliyopo Mahonda. …

Read More »

Mwanri: Bodi ya Pamba Waongezeeni Wakulima Mbegu za Pamba

P1

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akihamasisha ulimaji wa zao la Pamba kwa wakulima wa Wilaya ya Urambo Mkoani humo wakati wa ziara yake ya kikazi kuhamishisha shughuli za maendeleo. Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa mkoa huo Aggrey Mwanri alipofanya …

Read More »

IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA YASHIRIKI KAMPENI KUELEKEA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA KWA KUPATIWA MAFUNZO YA MAADILI NA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

003

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Ukuzaji wa Maadili, Ofisi ya Rais – UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Leila Mavika (aliyesimama) akitoa mafunzo kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa watumishi wa Ofisi ya Rais -Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Makao Makuu, ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea …

Read More »

JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA GEITA YACHAGUA MWENYEKITI MPYA

DSC_0536

Wajumumbe wa Jumuiya ya wazazi wakiwa kwenye mstaari kwaajili ya kupiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa Geita na wajumbe.   Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Geita ambaye amemaliza muda wake,Doto Biteko akiwashukuru wajumbe kwa ushirikiano ambao walimpatia wakati wa uongozi wake.   …

Read More »

Serikali: Tunaleta Muongozo wa Kusimamia Matumizi ya Dawa Nchini

0001

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza katika kongamano lasiku mbili la kisayansi lililoandaliwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuwahusiha wataalamu mbalimbali wa afya. Naibu waziri huyo ameipongeza MNH kwa kuboresha huduma za afya zikiwamo za kupandikiza figo na upasuaji …

Read More »

KOREA KASKAZINI:TUNAWEZA KUSHAMBULIA ENEO LOTE LA MAREKANI

_98979199_e11570b2-2f15-4170-84c1-d46ac545205c

Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani. Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia azimio lake la kuwa taifa lenye nguvu za kinyuklia. Kombora hilo kwa jina Hwasong-15 ambalo imesema ndio kombora lenye uwezo …

Read More »

WENGER ASEMA PETR CECH HANA MPANGO WA KUHAMA ARSENAL

46B5C43D00000578-0-image-a-13_1511916176846

KIPA Petr Cech hana mpango wa kuondoka Arsenal kwa mujibu wa kocha Mfaransa wa klabu hiyo, Arsene Wenger.  Wenger amesema mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 35 amepunguza uzito ili kuongeza muda wake wa kuendelea kucheza kadri iwezekanavyo. “Anazeeka, na wote tunazeeka,”amesema Wenger. “Lakini wakati anazeeka, pia anakuwa fiti kuliko …

Read More »

SERIKALI YASISITIZA DESEMBA 31 KUWA UKOMO WA UWEKAGI WA VIGINGI (BEACONS) VYA MPAKA HIFADHINI

_DSC0501

Na Hamza Temba – Wizara ya Maliasili ……………………………………………………………….. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amesisitiza agizo la Serikali lililotolewa hivi karibuni na Waziri Mkuu kuhusu kukamilisha zoezi la uwekagi wa vigingi vya mpaka kwenye maeneo ya hifadhi nchini ifikapo Desemba 31 mwaka huu.   Amesema lengo la …

Read More »

TIMU MBILI ZA MCHEZO WA BASEBALL ZANZIBAR ZAAGWA

DSC_0393

Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Baseball wakati walipofika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili …

Read More »