Friday , March 22 2019

Home / 2017 / November / 30

Daily Archives: November 30, 2017

UBA Group Emerges African Bank of the Year

image003

Former British Broadcasting Corporation(BBC) correspondent, Mr. Michael Buerk; Chief Executive, UBA Capital(Europe) Limited, representing UBA Group, Mr. Andrew Martin; and  Editor,  Middle East and Africa, The Banker. Mr. James King, during  The Banker Awards 2017, organised by The Banker Magazine, a publication of Financial Times(FT), where UBA Group coveted five awards, …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

msangi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 30.11.2017 KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA AMEKANUSHA TAARIFA ILIYOPO KATIKA GAZETI LA MWANANCHI LA TAREHE 30/11/2017. LEO TAREHE 30.11.2017 KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA NAIBU KAMISHINA WA POLISI AHMED MSANGI, AMEKANUSHA TAARIFA ILIYOPO KATIKA …

Read More »

MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA 2018

833A9561

Mtanzania Jonesia Rukyaa Kabakama ameteuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kuchezesha fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa wanawake (Algarve Cup) zitakazofanyika nchini Ureno, mwezi Februari, mwakani. Jonesia ambaye ni mwanamke ameteuliwa kupuliza filimbi katika fainali hizo ambazo hukutanisha timu mahiri zilizofanya vema katika michuano ya …

Read More »

RATIBA LIGI YA VODACOM, KOMBE LA AZAM

TFF-ASFC

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kwa takribani majuma mawili. Sababu kubwa ya kusimama kwa ligi hiyo ni kupisha Kombe la Chalenji la CECAFA – michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka kwa nchi za Afrika Mashariki (CECAFA). Michuano ya CECAFA itafikia ukomo Desemba 17, mwaka huu na …

Read More »

WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO AFCON U17

index

Ukiacha Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine. Uteuzi huo umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi wakuu …

Read More »

DK. MWAKYEMBE ANENA KILIMANJARO STARS IKISAFIRI

pic+mwakyembe+kusaidia+ZFA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewaambia wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, kuwa Tanzania inahitaji ushindi katika michuano ya Kombe la Baraza la Soka la Afrika Mashariki (CECAFA). Dk. Mwakyembe aliyesema hayo jana Novemba 29, usiku wakati wa hafla …

Read More »

KONGAMANO LA KISAYANSI LAFUNGWA

001

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akimkabidhi cheti mshiriki,  Mwanaidi Makao ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo na Utafiti wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma baada ya Mkurugenzi huyo kufunga Kongamano la Kisayansi la siku mbili lililoandaliwa na Muhimbili  kuanzia Novemba 29 hadi 30, mwaka …

Read More »

SERIKALI YATILIANA SAINI NA KAMPUNI YA ADPI KUHUSIANA NA UJENZI

DSC_0388

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini na Kampuni ya ADPI Ingenierie kutoka  Ufaransa kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja. Muakilishi kutoka Kampuni …

Read More »

WANAUME WAWE KIPAUMBELE KUPIMA VVU.

7

Mkurugenzi wa Idara ya Uhakiki Ubora  toka Wizara ya afya Dkt. Mohamed Mohamed  akimkaribisha mgeni rasmi mapema leo katika siku ya Uzinduzi wa Mwongozo wa kutoa cheti kwa  maeneo ya kufanyia vipimo vya VVU  katika vituo vya kutolea huduma za Afya. Wadau wa masuala ya Afya wakifuatilia kwa ukaribu taarifa …

Read More »

WAZIRI MBARAWA ATAKA BODI YA TPA KUFANYA MAAMUZI KWA WAKATI

3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Bodi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Kakoko, kukamilisha Skana mpya (haipo pichani),  ambayo inajengwa kwa ajili ya ukaguzi wa mizigo inayoingia Bandarini hapo ambayo haijakamilika hadi sasa. Muonekano …

Read More »

Waziri Dacheng Wa China Atembelea Shule Ya Sheria Ya UDSM

IMG_20171130_114259

Naibu Waziri mhe. Zhao Dacheng akizungumza aliesimama kulia akizungumza wakati alipotembelea Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es salaaam. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi  akizingumza wakati alipotembelea Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es salaaam pamoja na mgeni wake Naibu Waziri …

Read More »

UFAFANUZI KUHUSU USAMBAZAJI WA KONDOM KWA UMMA

kondom

Kumekuwa na taarifa mbalimbali, hamaki na kejeli zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuhusiana na taarifa iliyotolewa tarehe 27 Novemba 2017, Mnazi Mmoja kwenye uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Kondom kuhusu mpango wa Serikali kununua na kusambaza kondom 500,000,000 katika kipindi cha miaka mitatu 2018 hadi 2020. Tunapenda kuukumbusha umma …

Read More »

MTANDAO WA UTEPE MWEUPE (WHITE RIBBON) WAZUNGUMZA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA MAORE JUU YA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI KWA KINAMAMA NA WATOTO WACHANGA

E86A3510

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe kitaifa  (The White Ribbon Alliance ) Rose Mlay akizungumza na wananchi katika kijiji cha Maore wilayani Same wakati wa mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Taasisi ya Utepe mweupe (White Ribbon)  kujadili vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga . Baadhi ya Wakazi wa …

Read More »

ARSENAL YAZIDI KUNG’ARA ‘YACHAPA MTU MKONO EPL’

_98992860_9a828f67-6c2c-462e-92cf-fc20c65068e4

Arsenal imeweza kutakata vilivyo ikiwa nyumbani baada ya kuichapa Huddersfield Town 5-0 katika mchezo ambao Arsenal ilitawala kila idara. Magoli ya Arsenal yamepachikwa na Alexandre Lacazette, Olivier Giroud akiingia nyavuni mara mbili, Alexis Sánchez na Mesut Özil. Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema ni faraja kupata alama tatu muhimu hususan …

Read More »