Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 02

Daily Archives: December 2, 2017

Serikali haitawafumbia macho Wezi wa kazi za Sanaa:Dkt Mwakyembe.

PIX 1B

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe akikata utepe leo Jijini Dar es Salaam kuashiria ufunguzi wa Kampuni  ya  Tyeeo Barazani Entertainment inayohusika na usambazaji  wa kazi za Filamu hapa nchini. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe akikata utepe leo Jijini Dar es …

Read More »

DC SHINYANGA AFANYA ZIARA KWENYE VITUO VYA HUDUMA YA MTOTO VYA MAKANISA YENYE USHIRIKA NA COMPASSION KLASTA YA SHINYANGA

MATIRO

 Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara ya kutembelea vituo sita vya huduma ya mtoto katika makanisa ya kiinjili yaliyo na ushirika na shirika la Compassion International Tanzania Klasta ya Shinyanga yenye vituo tisa. ……………………………………………………………………….. Mkuu huyo wa wilaya amefanya ziara hiyo leo Jumamosi Disemba 2,2017 kwa ajili …

Read More »

KILIMANJARO STARS KIBARUANI KESHO DHIDI YA LIBYA

20171202_184147-640x373

Kilimanjaro Stars – Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa pili wa michuano ya kuwania Kombe la CECAFA – linaloandaliwa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Machakos, utaanza saa 10:00 jioni (1600h) mara baada …

Read More »

RAIS KARIA ASHINDA UJUMBE CECAFA

Pix-2-6

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji katika Baraza la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Katika uchaguzi huo uliofanyika leo Desemba 2, 2017 jijini Nairobi, Kenya Rais Karia alipita bila kupingwa kuwa Mjumbe CECAFA.      Awali …

Read More »

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo majimbo 3 na kata 6

MAKAMU

Hussein Makame-NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mdogo katika majimbo ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini na kata sita za Tanzania Bara ambao utafanyika tarehe 13 Januari mwaka 2018. Akitoa taarifa kwa umma jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa NEC, Mhe. Jaji Mkuu …

Read More »

MAKONDA, IGP SIRO WATEULIWA KAMATI ZA MAANDALIZI AFCON U17

MAKONDAA-1

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Bakhresa Limited, Abubakar Bakhresa wameteuliwa kwenye Kamati za Maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) mwaka 2019 nchini. Wakati Makonda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti …

Read More »

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA

PIX1b

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Msaada wa Kisheria leo Jijini Dar es Salaam. Wiki hii ya Msaada wa Kisheria inatarajiwa kuanza tarehe 04 Desemba 2017 ambapo kitaifa itafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es …

Read More »

WAJASIRIAMALI JIJI LA ARUSHA WAPATIWA MKOPO WA MILIONI 605

IMG_1033

Mkuu wa Wilaya ya Arusha  Gabriel Daqqaro akikabidhi hundi ya shilingi milioni 500 ya mkopo wa kinamama iliyotolewa na Halmashauri ya Jiji la Arusha .Picha na Ferdinand Shayo Kinamama na vijana waliokusanyika katika ukumbi wa Arusha School kupewa mafunzo kabla ya kupatiwa mikopo ya halmashauri. Picha na Ferdinand Shayo …………….. …

Read More »

SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA

Pix 1

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia kutoka Idara Kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sylivia Siriwa  akizungumza na wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga wakati wa Semina ya uwezeshaji wananchi kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. …

Read More »

BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA

DSC_0135

Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dk,Juma Mohammed Salum kushoto akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja Baadhi ya Wajumbe wa Bodi waliohudhuria …

Read More »

KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU KUTOKOMEZA RUSHWA LAFANYIKA

DSC_0007

Afisa uhusiano kutoka mamlaka ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumu (ZAECA)Mwanaidi Suleiman Ali akisoma ratiba ya Uzinduzi wa Kongamano la Vijana kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na …

Read More »