Friday , March 22 2019

Home / 2017 / December / 03

Daily Archives: December 3, 2017

KILI STARS YAANZA NA SARE MICHUANO YA CECAFA

IMG-20171203-WA0052

Timu ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeanza sare ya bila kufungana na wabuguzi wa rangi Libya katika mchezo wa Kundi A wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA Challenge Cup’ mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Machakos nchini Kenya Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Alex …

Read More »

MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AITAKA JAMII KUHAKIKISHA KUWA WATU WENYE ULEMAVU HAWAACHI NYUMA KWENYE NYANJA ZOTE ZA MAENDELEO

19

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu vya ngozi wakati alipotembelea maonyesho ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini wakati wa maadhimisho ya siku ya walemavu duniani ambayo kitaifa yalifanyika …

Read More »

CCM MKOA WA MJINI WAFANYA UCHAGUZI LEO

IMG_0400

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,  Khadija Hassan Aboud akifungua Mkutano Mkuu maalum wa Uchaguzi CCM Mkoa wa Mjini Unguja,huko Amani. WAJUMBE na Mkutano huo wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo. MJUMBE wa mkutano huo akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa CCM Mkoa huo watakaoongoza kwa miaka mitano …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM WA MKOA WA LINDI

PMO_1182

Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya  CCM,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017  Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, …

Read More »

TBL yashiriki hafla ya kuchangisha fedha za kusaidia watoto yatima Parokia ya St.Peter

TAMASHA TBL 3

Meneja wa Masuala  Endelevu wa TBL Group,Irene Mutiganzi (kushoto) akitangaza zawadi  wakati wa hafla hiyo (Kulia) ni Mwenyekiti wa  maandalizi  Steve Gannan. Wanakwaya wakisalimia baadhi ya wageni walioudhuria Washiriki wakifurahia kucheza muziki wa kwaya ……………………………………………………………………………  Jumuiya ya ibada za misa  za Kingereza katika kanisa la St.Peter lililopo jijini Dar es …

Read More »

THE 8.INTERN: TÜBINGEN AFRICA FESTIVAL 2018 IN GERMANY IT IS NOW OFFICIALLY OPEN FOR REGISTRATION & PARTICIPATION.

tata

Madam Susan-Tatah CEO of Africa Festival Tubingen Germany …………………………………………………………………… The 1 year break is over, its time to get back to business as usual and this time on a big note. The festival is now called GAIEXPO as it has included African Small and Medium enterprises worldwide. This sector shall …

Read More »

AWESO AKERWA NA WAKANDARASI WASIO NA UWEZO

3

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiangalia kilula cha maji cha mradi wa Liula, Wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma.  Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akitoa maagizo kwa watendaji mara baada ya kukagua Tenki la maji la mradi wa Parangu katika Wilaya ya Songea Vijijini, …

Read More »

WAVIU WASHAURI WATEMBELEA VITUO VIKUBWA VYA CTC HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO NA SEKOTOURE JIJINI MWANZA

WAVIU

    Waviu Washauri kutoka mkoa wa Mwanza wametembelea vituo vikubwa vya tiba na matunzo katika hospitali ya Rufaa ya Bugando na Sekotoure jijini Mwanza ili kujifunza kwa kuona huduma mbalimbali zinazotolewa katika maeneo hayo. ………………………………………………………………..   Waviu washauri ni watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi na wamejiweka …

Read More »