Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 04

Daily Archives: December 4, 2017

NINJE AISIFU KILIMANJARO STARS, MBARAK KUIKOSA ZANZIBAR HEROES

IMG_1807

    Kocha Mkuu wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje amepanga kesho Jumanne Desemba 5, 2017 kuanza kufanyia kazi upungufu ulioonekana kwenye mchezo dhidi ya Libya  uliofanyika Jumapili Desemba 3, mwaka huu. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos hapa nchini Kenya, Tanzania Bara ilipata sare …

Read More »

BOHARI YA DAWA (MSD) YAPONGEZWA KWA USAMBAZAJI WA DAWA NCHINI

1

 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo Muhimbili (MOI) katika ziara yake ya kikazi ya kutembelea Hospitali za Mkoa wa Dar es Salaam kujua changamoto walizonazo za upatikanaji wa dawa na kuzitafutia …

Read More »

Mkutano Wa Nane Wa Baraza La Tisa La Wawakilishi Zanzibar Kuanza Jumatano Tarehe 6 Mwezi Huu

leo

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akizungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Mkutano wa Nane wa Baraza la Tisa la Wawakilishi linaloanza Tarehe 6/12/2017. ……………… .Na Maryam Kidiko  – Maelezo Zanzibar.                        Jumla ya maswali 113 yameratibiwa …

Read More »

KAMPUNI YA SBC YAZINDUA SHINDANO LA JISHINDIE MAMILIONI

Pepsi 2

Meneja Mafunzo na Uwezeshaji toka Kampuni ya SBC  Rashid Chenja (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa shindano la Jishindie Mamilioni mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari (MAELEZO) Frank Shija na kushoto ni Meneja Masoko …

Read More »

TIGO YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA MJINI SENGEREMA

utepe (2)

Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema(shati jeupe) Alan Augustine na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya Ziwa wa kampuni ya Tigo, Beatrice Kinabo wakikata utepe kuzindua duka la Sengerema mkoani Mwanza jana, Meneja Mauzo mkoa wa Geita Lugutu Lugutu akishuhudia. Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema(kushoto) …

Read More »

RC WANGABO AIAGIZA SUWASA KUWAKATIA MAJI WENYE MADENI SUGU

P_115141_vHDR_On

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (kaunda suti ya Blu) akitaka ufafanuzi wa mchoro wa mradi wa maji taka unaotumika katika Manispaa ya Sumbawanga kutoka kwa Mkurugenzi wa SUWASA Hamis Makala (Kushoto) alipofanya ziara katika Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

RC TABORA: JENGENI TABIA YA KULIMA KILIMO KINACHOWAPA ZIADA

RC1

NA TIGANYA VINCENT RS-TABORA WAKULIMA wametakiwa kuhakikisha wanalima kilimo cha kisasa ambacho ndio kitawawezesha kuzalisha ziada ambayo ndio itawaletea faida kwa ajili ya kupata fedha za kujiletea maendeleo yatakayowaondoa katika umaskini. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa uhamasishaji wa kilimo cha …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

index

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA     Wito kwa Vyombo vya Habari     Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajia kutoa tamko rasmi la zoezi lijulikanalo kama ‘Ushirikiano Imara” 2017 litakalojumuisha nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tamko hilo litatolewa tarehe 5 Desemba 2017 …

Read More »

BI HINDU AJISALIMISHA KWA MO NA KUTUPA SILAHA CHINI

DSC_0475-640x426

Mwanachama wa klabu ya Simba, Bi Hindu ametangaza kubadili msimamo wake na kuungana na wale wanaounga mkono ya uwekezaji ndani ya klabu hiyo. Bi Hindu amewaambia waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, kwamba ameamua kubadilika. “Nimeamua kubadilika baada ya wao …

Read More »

ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFUNIKA SHEREHE ZA UHURU OAKLAND!

24131455_10154799016036268_3386751020826453993_n

  Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2017 Mama wa mitindo maarufu hapa Tanzania kama Asya Idarous Khamsin, ambaye kwa sasa makazi yake ni nchini Marekani.  Ifikapo December 9th 2017  ataiwakilisha Tanzania kwa kuonyesha mitindo yake kwenye sherehe za uhuru Oakland Carlifonia.   Hivyo tukiwa kama Watanzania ni jambo la kujivunia …

Read More »