Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / December / 05

Daily Archives: December 5, 2017

BOHARI YA DAWA (MSD) YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA KATI 2017-2020

3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akihutubia wakati akizindua Mpango Mkakati wa Kati 2017 – 2020 wa Bohari ya Dawa (MSD) jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi Mkuu wa MSD,  Laurean Bwanakunum akizungumza katika uzinduzi huo. Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Mipango …

Read More »

MAJALIWA AREJEA DODOMA

PMO_1321

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakati alipowasili   kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam.  Kulia kwake ni mkewe Mary. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mekewe Mary  wakiongozana na Mkuu wa Mkoa …

Read More »

23 KUFANYIWA UPASUAJI WA PRESSURE YA MACHO MUHIMBILI

001

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Presha ya Macho wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Neema Daniel Kanyaro (kulia) akimfanyia upasuaji mgonjwa mwenye tatizo la presha ya macho kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Mtakatifu Thomas ya Uingereza. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Macho, Dkt. Pouya …

Read More »

CHAMA CHA MAOFISA UHUSIANO CHAZINDULIWA JIJINI DAR

picha2-1

Rais wa Chama Cha PRST, Loth Makuza akizungumza jambo. Meza kuu ilivyoonekana. Msaidizi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari( MAELEZO), Jonas Kamaleki akipokea cheti cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, kutokana na mchango wake wa kuagiza idara za serikali kuwa na msemaji. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria …

Read More »

Business Council of International Understanding Honours Tony O. Elumelu with the Dwight D. Eisenhower Global Entrepreneurship Award

image001

Business Council of International Understanding Honours Tony O. Elumelu with the Dwight D. Eisenhower Global Entrepreneurship Award  …The Group Chairman, United Bank for Africa Plc (UBA) and Founder, Tony Elumelu Foundation becomes first African to receive the prestigious award.   Chief International Correspondent, CNBC, Ms Michelle Caruso – Cabrera; Vice …

Read More »

BARAZA LA KISWAHILI ZANZIBAR LINATARAJIA KUFANYA KONGAMANO LA KIMATAIFA

bakiza 2

MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dk. Mohammed Seif Khatib, akizungumza na waandishi wa habari katika jengo la Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Kikwajuni, kuelekea kufanyika kwa kongamano la kimataifa la lugha ya Kiswahili linaloandaliwa na BAKIZA. Picha na Kijakazi Abdalla- MAELEZO ……………….. Na Khadija Khamis               …

Read More »

KILI STARS YAJIFUA KWA AJILI YA ZANZIBAR HEROS ‘NINJE AKUBALI’

Stars Mazoezi ya kuruka

    Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Ninje leo Jumanne Desemba 5, 2017 ameanza mazoezi maalumu ya kurekebisha upungufu wote uliojitokeza kwenye kikosi chake katika mchezo uliopita. Kilimanjaro Stars, ilicheza mchezo wa kwanza dhidi ya Libya Jumapili Desemba 3, mwaka huu kwenye Uwanja …

Read More »

DROO YA MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP ‘LIVE’ KESHO

azfcj-750x350

Droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), inatarajiwa kufanyika kesho Jumatano Desemba 06, 2017 kwenye Studio za Kituo cha Televisheni cha Azam, kilichopo Tabata relini, Dar es Salaam. Droo hiyo itakayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na …

Read More »

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI

IMG_0141

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yamelenga kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya Afya Waziri  Ummy Mwalimu (kushoto) akimuelezea jambo Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AMZAWADIA MILIONI MOJA ASKARI WA KIKE KWA UTENDAJI KAZI MZURI KAZINI, JIJINI DAR

PIX 1

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akimkabidhi zawadi ya Sh. Milioni moja(1,000,000) askari wa kike Sajini wa Magereza, Anna Akuny(katikati)  kutokana na utendaji wake mzuri kazini aliouonesha katika Gereza la Wanawake Segerea(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga(wa pili kulia) ni Mkuu wa …

Read More »

CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO

5

Mjumbe wa NEC Mh. Januari Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa unaofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo Chama cha mapinduzi kimekuwa na chaguzi za ngazi mbalimbali kuchagua viongozi  watakaokwenda kukiongoza chama …

Read More »

TMS KUTOA AJIRA ZAIDI YA 6000 NCHINI

porfolio

Jonas Kamaleki- MAELEZO TMS Consultants Ltd imejiandaa kutoa ajira 6000 nchini katika juhudi za ujenzi wa viwanda na kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TMS Consultants Ltd, Sebatian Kingu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. …

Read More »