Thursday , March 21 2019

Home / 2017 / December / 06

Daily Archives: December 6, 2017

TFDA YAWANOA WASINDIKAJI WA CHAKULA MKOANI GEITA

DSC_0017

Kaimu Mkurugenzi usalama  wa chakula makao makuu ya TFDA  Bw Lazaro Mwambole akiendelea kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa kusindika chakula Mkoani Geita.   Baadhi ya wafanyabiashara wadogo ambao wanashughulika na usindikaji wa vyakula wakifuatilia mafunzo kwa umakini.   Baadhi ya wafanyabiashara wadogo ambao wanashughulika na usindikaji wa vyakula wakifuatilia mafunzo …

Read More »

WADAU WA MAENDELEO SIMIYU WAKUBALIANA NA UCHANGIAJI KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE KUELEKEA MWAKA 2018

PICHA L

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akifungua kikao cha Kamati yaUshauri ya Mkoa huo(RCC), kilichofanyika jana Mjini Bariadi, (kushoto)Mbunge wa Bariadi Mhe. Andrew Chenge,(wa pili kushoto) Katibu Tawala mkoa Simiyu, Ndg.Jumanne Sagini na ( kulia) Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe.Festo Kiswaga. Baadhi ya wajumbe wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa …

Read More »

VIPAJI VYA WATOTO MASHULENI VIKIENDELEZWA TUTAPATA TIMU ZA TAIFA KWA MICHEZO MBALIMBALI ZILIZO BORA ZAIDI

06

VIPAJI MASHSULENI: Wanafunzi  wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamizeze  kata ya Bugando ,Wilaya ya Sengerema  mkoani Mwanza,wakionyesha vipaji vyao kwa  kusakata kandanda   wakati wa kipindi cha michezo , Wazira ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inayo jukumu kubwa la kuviendeleza  vipaji vya  watoto mashuleni  ili kuweze kapata …

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS

PMO_1518

                                                                                                                      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Meneja wa TBA-Dodoma, Steven Simba (kulia) wakati alipokwenda kukagua ofisi na makazi ya muda ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017 (kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Maimuna Tarishi, na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi …

Read More »

Ugeni wa Balozi wa China kwa Waziri Mkuchika

Pix 2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti  ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke (katikati) wakati balozi huyo alipomtembelea Waziri  Ofisini kwake mapema hii leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

Read More »

IVOMAPUNDA SPORTS CENTER KWA KUSHIRIKIANA NA DRFA KWA PAMOJA WANAKULETEA MAJARIBIO YA WACHEZAJI JINSIA ZOTE MWEZI WA KWANZA MWANZONI WA MWAKA 2018 KWA WACHEZAJI KUANZIA UMRI WA MIAKA 6 – 20.

Ivo-Mapunda

MCHEZAJI ILI AWEZE KUSHIRIKI MAJARIBIO HAYA ANATAKIWA KUJAZA FOMU AMBAYO ATAIPATA KATIKA VITUO TAJWA HAPO CHINI KWA BEI YA TSH 5000 AMBAYO IPO NDANI YA KITABU CHA SOKA AMBACHO KINAITWA “BORESHA NA ENDELEZA KIPAJI CHAKO CHA SOKA” KINAFUNDISHA MCHEZO WA SOKA PIA KITAMSAIDIA MCHEZAJI KUJIANDAA NA MAJARIBIO NA KUWA MCHEZAJI …

Read More »

KALIDUSHI MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA GEITA

DSC_0869

Wajumbe wakiwa wamembeba mshindi wa kiti cha uenyekiti Mkoani Geita,Alhaji Said Maneno Kalidushi baada ya kuibuka mshindi kwa kura 358.   Mkuu wa Mkoa wa Geita,MhandisI Robert Luhumbi akizungumza na wajumbe wa  kabla ya kufanyika kwa uchaguzi .   Wananchama wa chama cha mapinduzi (CCM)Mkoani Geita wakifurahia wakati walipokuwa wakimsikiliza …

Read More »

UFUNGUZI WA ZOEZI USHIRIKIANO IMARA 2017 WA JWTZ

index

Wito wa Vyombo vya Habari     Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kuwa litafanya zoezi la kijeshi litakalojumuisha majeshi ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lijulikanalo kama “Ushirikiano Imara“ 2017. Zoezi hilo litafunguliwa rasmi kesho tarehe 07 Desemba 2017 saa 3:00 Asubuhi …

Read More »

KILUVYA UNITED YAPATA SHAVU FINLAND-RC NDIKILO

IMG_20171204_180042

Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo wa kwanza kushoto ,akikabidhi kiasi cha shilingi milioni moja kwa katibu wa timu ya Kiluvya United Sadiki Chonjo itakayosaidia kupunguza makali ya changamoto ya fedha katika timu hiyo iliyopo daraja la kwanza nafasi ya tatu Baadhi ya wachezaji wa kiluvya united iliyopo daraja …

Read More »

KILIMANJARO WAPONGEZWA KWA KUZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI

unnamed

MKOA wa Klimanjaro, umepongezwa kwa kuitikia agizo la Rais John Magufuli la kutaka kila mkoa ubainishe fursa za uwekezaji zilizopo na kuandaa mwongozo wa uwekezaji. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Joseph Kakunda katika hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa uwekezaji mkoa wa Kilimanjaro uliondaliwa …

Read More »

MANENO AMNG’OA MLAO UENYEKITI CCM PWANI/HAJI JUMAA AULA

IMG_20171205_115831

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoani Pwani,wakifuatilia uchaguzi mkuu wa CCM Mkoani hapo uliofanyika kwenye ukumbi wa Filbert Bayi Kibaha. Ramadhani Maneno akiomba kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoani Pwani ambapo alishinda kuwa mwenyekiti Mpya Mkoani hapo. Picha na Mwamvua Mwinyi …………… Na …

Read More »

SERIKALI YASEMA TATIZO LA UTAPIAMLO LIMEPUNGUA NCHINI

_DSC0973

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Pawaga, akitoa hotuba ya  ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Maafisa Lishe wa Mikoa nchini ambao unahusisha Wataalam wa kada hiyo waliopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ambao wenye lengo la kuboresha lishe …

Read More »